Recent content by araway

  1. araway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uyo alifariki mwaka Jana .
  2. araway

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 7, natafuta gari ya kupigia Misele

    Nitafute nikuconect na premio old model namba c manual kwa millioni nne kamili
  3. araway

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

    Alimaliza 2000 form four. Alikuwa almaarufu kwajina la cox
  4. araway

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

    Vijana wa lobilo utawajua tu
  5. araway

    JamiiForums Tanzania Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Kama tatizo lingekuwa ni harufumbaya kipindi cha mvua Ningrkupa suluhisho Na usingesikia Tena harufumbaya Kutoka Kwa hayo mazingira.
  6. araway

    JamiiForums Tanzania Mvuha, Morogoro pana joto siyo la kawaida, hii hali italeta maafa

    Mbona inaonyesha ni 30c, ipo chini bado
  7. araway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viwango vya wachezaji kwenye Derby ya 23.10.2022

    Ndugu umefanya kazi nzuri ila hujamtendea haki tshabalala, maana jamaa amekuwa mzembe sana. Anapoteza mipira mingi na anakabika kirahisi. Alinitesa sana kila akiwa nampira ,fanya urudiekumtizama, anastahili 4.5
  8. araway

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Fuga

    Ulifanikiwa kuipata?
  9. araway

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kuchimba visima

    Gharama ya survey nipo mlandizi
  10. araway

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mbegu ya Canola

    Wasiliana na criss Lukosi akutumie kwenye makinikia
  11. araway

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

    usimwamini sana huyo afisa kificho
  12. araway

    JamiiForums Tanzania Gates Foundation calls for global cooperation on vaccine for 7 billion people

    Zxyzsezegdcsvss Sent using Jamii Forums mobile app
  13. araway

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Nishaikosa kama ndo ivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. araway

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa COVID-19

    nakuunga mkono. mateso niliyopata kwa hii dawa ilikuaa nikisikia tu jinalake natapika Sent using Jamii Forums mobile app
  15. araway

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana mikoa ya Pwani kushindwa kuilisha Dar kwa maziwa na mazao!!!

    udongo wa pwani nikichanga haufai kwa kilimo cha ndizi pendwa. ndizi zinazojaribu kukubali ni kikojozi na mzuzu tena kwa kumwagilia. kuhusiana na mifugo pwani kuna wafugaji wengi na maziwa yapo mengi ya kutosha ila soko la maziwa sio zuri kwa pwani. Hali ya joto la dar inasababisha kuhifadhi...
Back
Top Bottom