Recent content by Arabian Eagle

  1. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wanawake kukojoa kwenye makopo au ndoo wakati wa usiku nini msingi wake kama si uchafu?

    Wengine ni uvivu tu. Ila kuna wengine inabidi wafanye hivyo kutokana na usalama wao maana waweza kuta nyumba na choo ni mbali ila ni nadra sana kukuta mijini nyumba ziko mbali na choo hii nadhani ni vijijini na sehemu ambayo makazi hayajakomaa. Lakini kama wewe ni wa mjini uko center halafu...
  2. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

    Ahsante sana mkuu.
  3. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

    Kwani kujua ki-inglish au kutojua kumeingiliana vipi. Nimeuliza wenye uwelewa kwan mwanzo sikujua kama kuna google?? We ulipaswa ukae kimya mkuu kama hukuwa na nia ya kunielewesha.
  4. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

    Samahani wadau habari za muda huu? Naomba mwenye uwelewa wa hii kitu inayoitwa VPN! Hii kitu unakuwa unatumia internet free au ni nini?? Sielewi naskiaga tu vpn vpn.
  5. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu antena ya Startimes

    Habar zenu wadau. Leo niko na hoja kwa wale wanaotumia Startimes antenna Miaka ya nyuma kulikuwa na zile code unapata channels za bure kama mbcbollwood mbc colorstv n.k Je siku hizi mnazipata?? Au wameweka pini? Kama yuko mdau anazifahamu na anapata anijuze tafadhali... maeneo ya dodoma Dar...
  6. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Ulichojibu hakihusiani na swali kaka.. lakini anyway nimeshapata ufumbuzi.
  7. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Mbona hunijibu
  8. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar ni kina nani?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar nini maana ya kudamshi ,Kama yote???

    Wa dar tuambieni
  10. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Wa Dar

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa Dar Tena,

    Huu msemo *Wanaume wa dar* umekua gumzo sana.. ni nini siri ya wanaume wa dar???
  12. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Ni hivyo mkuu
  13. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu wanaume kuangalia baadhi ya tamthilia

    Jibu zuri sana.
  14. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu wanaume kuangalia baadhi ya tamthilia

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Arabian Eagle

    JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu wanaume kuangalia baadhi ya tamthilia

    Je Series na tamthilia iko tofauti??? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom