Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,122
Aisee tena akutane na malaika wakorofi wako zamu wamkungute mibanzi kwanza ndo Wamuoneshe milango ya kuzimuKaoge kafa
Dah kitambo sana sijafika komakoma na ule msura wake kama kimba la mbweha
Aisee tena akutane na malaika wakorofi wako zamu wamkungute mibanzi kwanza ndo Wamuoneshe milango ya kuzimuKaoge kafa
Hahaha...unajidanganya coz wanakushangaa kwa sababu unakuwa huna tofauti na ........mbuganiSio masihara tukienda kijijini jamaa wanatuogopa kishenzi, alafu wanaona wamjini maisha tushayapatia kinomaaa.
wanakua wadogooo-
Nyota ya jogoo, hahaha....Wanaume wa Dar ni wale wanaoshobokewa na wadada wa mikoani wanapoenda matembezi huko mikoani
Kaoge kafa
wamemtumiaaa mpk kafa. Alisema anapenda mikono ya watotoWanaogopa kumpigia mwizi kelele, kutembea kwao mwisho saa 3 usiku, wanaogopa hata sisimizi, wanapenda booster kama vile supu ya pweza na karanga + mihogo mibichi na nazi, wepesi kuchukia, n.k n.k n.k
Sifa nyingne ni kama ulizotaja mkuu.
Zipo lukuki









