Kwamba ni hatua ya kuacha ulimwengu huu na kuendelea hatua ingine kama tulivozaliwa tukawepo na tutachimoka siku mwili taposhindwa mapambano ya kuendelea kubaki duniani
Sasa bila kujipendekeza kwa wenye mamlaka na wao ndo wamekupa kibali cha kufanya kazi. Na wanakupa na kazi pia uache kuwasifia uwe kinyume chao waku fungie kisa sifa? Ukipatwa na njala wanaokusifia hamna hata mmoja atalete debe la sembe kwa boma... jikombe ukomboke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.