Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,253
- 5,865
Huyu mnyambo acha ujingaIshomile
Huyu mnyambo acha ujingaIshomile
Sema JF imeharibiwa sana siku za hivi karibuni.. Hadi simu za watu wa Milembe zimedownload app ya JFHizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Mla Rushwa sana, mbona sisi wakandarasi tumempa rushwa sana.Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Anafaa sanaMimi Niko tayari kumpokea Kwa mikono mwili
Hana lolote huyo.Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Hizo za ukabila ni hear say tu.Hao watu wa Mipakani sio salama sana Kukalia Icho Kiti, Nimeona sehemu hata Biteko anatabiliwa Kuwa Ajae siku za Mbeleni, Ila Tu niwaambie Urais nchi hii unatakiwa utoe kabila ambalo ni Minority na Wasomi na wawe wachache katika Ilo kabila, Wapwani na Watu wa kanda ya Kati kuanzia Dodoma, Singida wanafaa sana Kukalia Icho kiti kikuu
Wapumbavu sana hao watu.Kwamba mna jipangia tu Rais anayefata nani.Hivi mna hati miliki ya nchi hii?Ndo mana yeyote mwenye akili timamu basi ataguswa na kuhitaji mabadiliko tu.
Rais wa Manzese labdaHizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Acha kutujazia uchafu. Kama lengo lenu ni kumpigia chapuo huyu chawa, mnamharibia. Hana sifa hata moja zaidi ya uchawa kuwa rais. Hata kama hizi ni tetesi, ni za kizwazwa. Sijui kwanini jf mmejiruhusu kuwa makuwadi wa machawa.Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Nchimbi atakubali? Madelu je?Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Itakua, waaya tumeshika dora ikulu ihamie kashozi, akchuale kule ndio iwe makao makuu ya nchiHizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Sir John Roberts mkuu ungesoma vizuri hoja ya mdau amesema rais ajae lakini hakutaja NI rais WA nini pengine mtoa post ana maana ya rais WA makanisa.Sasa kanisani Kuna Nini au akiwa Rais ataongoza makanisa?
mkurya ndio anafaa kuwa prezidaa wa nchi hiiHao watu wa Mipakani sio salama sana Kukalia Icho Kiti, Nimeona sehemu hata Biteko anatabiliwa Kuwa Ajae siku za Mbeleni, Ila Tu niwaambie Urais nchi hii unatakiwa utoe kabila ambalo ni Minority na Wasomi na wawe wachache katika Ilo kabila, Wapwani na Watu wa kanda ya Kati kuanzia Dodoma, Singida wanafaa sana Kukalia Icho kiti kikuu
Tuheshim nasafasi ya uraisi , iyo sio nafasi kila mtu anaweza kuwa,Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Bashungwa ana element za kagame.Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Mwenye namba au email ya huyu mwamba anisaidie wakuu nashida naye huenda akanisaidiaHizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.
Ccm chini ya mzee wasira acha ujinga kwani si mna mgombea ? aya ya Bashungwa inatoka wapi ? Mwaka huu uchaguzi ukifanyika ccm mtajipanga upya ,Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.