Recent content by Applemon

  1. A

    JamiiForums Tanzania Makahaba/Matapeli wa mapenzi SGR station Dodoma

    Madhara yakuendekeza kichwa cha chini
  2. A

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB, imenigomea kabisa

    Hii laini nilikuwa nimeichukua mbili na zilikuwa hazijaanza kazi 40,000 yote nimerudishiw Jana . Nliwasiliana na halotel wakasema vidurushi vya ofa sasa huwezi kushea na mtu .
  3. A

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB, imenigomea kabisa

    Wamerudisha ela kwa waliokuwa hwajatumia kabisa . Huduma hiyo wametoa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Njia ya kupunguza msongamano wa magari na watu katika Majiji - Tanzania

    10M ni ndogo sana kwa solution kama hiyo . Ask price kwangu ni 1B na solution ni ndani ya week Moja matokeo yanaonekana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kufananisha Subaru SJG na LC 300 series ni matusi!

    SJG ya Singapore mzee inakaa mbele ya LC300 bila shida kabisa . Kwa kigezo cha mbio tu . Sababu magari ya Singapore yana ECU tune ambayo stage 1 tune peke yake Subaru anafika 300-320Hp bila kugusa engine na SJG za Singapore Zina 260top speed Sasa Kuna kitu tunaita power to weight ratio ngoja...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

    Mkuu hapo wewe kazi ni ndogo sana kwangu . Nimekumbana na watu wa hivo kadhaa na wote wamerejea kwenye Hali zao za kawaida . Naamini hata wewe utakuwa sawa 100% Njoo PM tusaidizane kabla hujakata tamaa kabisa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi watakuwa wanafungiwa ndani kama kuku mpaka Rais Samia na Mstaafu Kikwete wanyooshe mikono juu?

    Shughuli zimesimama ila mtaani tunatoka sana tu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa CDF anaongoza 1-0

    The greatest victory is to subdue the enemy without fighting. Gen Z wameshinda bila kutokea yaani
  9. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye silaha za moto ambao pia wamevamia kwangu bila kibali

    Huwezi kuninunua kufanya huo upuuzi hata uwe na qudrilion
  10. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye silaha za moto ambao pia wamevamia kwangu bila kibali

    Mkuu pole kwa kadhia hiyo . Lakini nadhani umeonesha uoga sana . Hapo baada ya kufika kituo kikuu na kuhakikishiwa huna kesi ungechukua RB . Then wawekee kimtego tu wakija chapa shaba wote . Respect must be established
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari nzuri

    X Trail ipo New Model Number DM..... Inataka 10M **** Alteza number BRR inataka 4.8M Zote ziko mwanza ukiwa serious ni simu Moja tu chuma inakufikia ulipo. Zimenyooma engine safi gearbox safi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naona kama upo Afrika na ukawa Introvert ni changamoto sana

    Yaani mleta Uzi acha nikudokeze Introvert ni Best communicators sana Hawa . Kujichanganya na watu wanaweza ila ni lazima pawe na purpose muhimu ikiisha huwexi muona hapo .
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Hapa mfumo wa waganga wengi nikukuwekea hofu halafu ndio wanaanza kukupa confidence kupitia dawa wanazokupa .na unatumia gharama kubwa Sana
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Mtoto wa Kwanza kajifungua 2024 may Naona walijiachia na mumewe sababu wako mbali mwezi huu tena kajifungua tena mkuu
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Pole Sana mkuu.. Mdogo wangu Mimi(KE) alikumbwa na kadhia hiyo na mume wake wamezunguka kama wewe Tu .. Walisota Tangu 2020 nikaingilia Kati nikampeleka dogo sehemu .. Mungu NI mwema mwaka Jana kapata mtoto wa Kwanza . Navoongea hapa tena anaweek moja kapata tena mtoto wa pili . .. Nicheki PM...
Back
Top Bottom