Mawazo shallow kama haya Tanzania hatufiki popote yaani pamoja na wizi huu na CCM kutufikisha hapa new generation anaandika hivi? Basi nichukuliwle aliyeandika ni Wassira au Kinana lakini si kizazi kipya
Hebu tuache kuongea kishabiki kazi zingine sio lazima kuzalisha bali service yake inaweza kuathiri uchumi ikiendeshwa vibaya pale TPDC hawazalishi lakini service yake ni very important kutoathili mifumuko ya bei iwapo itaendeshwa bila madeal. Sawasawa na kamishina wa TRA anazalisha nini...
Israel ni powerful kuliko taifa lolote pale mashariki ya kati hawajaamua kuexercise nguvu zao rasmi na kila wakipiga Marekani, Saud Rabia, Cuwait, Misri na nchi za ulaya huwaambia waende polepole wasije leta mtafaruku wa dini duniani kumbuka Saud Arabia, Cuwait na Misri hawapendi Hazebollah na...
Don't fool yourself kuwa Israel haina nuke utakuwa umepotea maboya kuhusu Gaza wanapiga kishikaji wakiamua inapotea kwenye ramani ya dunia Egypt, Syria, Jordan zilivamia Israel kwa pamoja ziliishia kugongwa kama watoto Turkey hana lolote mbele ya Israel pamoja na kuwa ni ya nane Israel nguvu...
Kwahiyo.unahalalisha uasi na umakini kuitwa mchezo mchafu kwahiyo leo hii ni halali wachagga wakajitangazia nchi na kuuita Chagaland, Wanyakyusa nao nchi yao, Wasukuma nao wakaita Sukumaland pia Wahaya wakaita Hayaland? Putin ni mchokozi analeta ubabe wa kizamani Ukraine haitaki kuwa upande wa...
Mkuu hana lolote huyo kaingia mitini kukwepa kunyooshewa kidole kuvamia Ukraine na kutungua ndege ya abiria ya Malaysia iliyojaa waholanzi. Putin anajiona yuko sidelined kwenye medali za kimataifa nchi za magharibi Marekani anaongoza za mashariki China ndiye boss hii inamfanya Putin asiwe na...
Azusa hakika umenena hawa Turkey hawana jipya zaidi ya kukiuka haki za kibinadamu wao wenyewe wanahusika na mauaji wa Waarmenia zaidi ya milioni tatu ethinic cleansen sababu tu waarmenia hawakuwa waislamu hii ilisababisha Urusi ya Tsar Alexander kuivamia Turkey na muda wote warusi walishinda ndo...
Bravo kamanda haya maelezo yako well presented again you too deep on issues. Napenda maelezo yakinifu yenye narratives so mtu anaona kisemwacho si maelezo mepesi yasiyo na hoja
Mkuu fanya uchunguzi kabla ya kuanza kurusha lawana Tanzania likuwa ni nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kutambua struggle zao dhidi ya unyanyaji wa Israel kiasi cha kwamba tukaamua kuvunja husiano na Israel jambo ambalo Jommo Kenyatta, Kenneth Kahunda, Edwardo Don Santos wa Angola...
Stop being single minded person discussion is both ways not a one way traffic unataka kupandikiza mawazo yako ya chuki dhidi ya hao adunje lakini hoja zikijibiwa hupendi kafungue blog yako uwe unaweka mawazo unayotaka wewe maana nijuavyo mjadala ni both ways unatoa facts kwa mujibu wa mtizamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.