Recent content by APMS

  1. A

    JamiiForums Tanzania LAPF hatarini kuwatosa wanachama

    mkuu umesahau dharau za watumishi wake.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu zilipo ofisi za agency wa simu za bird kwa Dar

    Naomba kufahamu zilipo ofisi za agency wa simu za bird kwa Dar es salaam.samahan kwa usumbufu wa kuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wafugaji jamii ya Barbaig walia kubakwa, kuuawa na kuibiwa

    ila tukiacha ushabiki hawa jamaa sio wastaarabu hata kidogo na askari wasingewauwa ingekuwa ishu nyingne wanapaswa kutambua sheria na waache ukorofi pia hongera vijana wa polis kwa maamuzi magumu kulinda usalama.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    mimi nakuja hapo animal science,nisaidie kupata admission letter
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    mkuu nisaidie admission letter na joining instruction mi nakuja SUA animal science
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ajali yahusisha magari mawili daraja la Mto Wami

    hilo basi la kipacha linafanya safari zake kati ya dar na SONGE makao makuu ya wilaya ya kilindi mkoa wa tanga
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ajali yahusisha magari mawili daraja la Mto Wami

    du poleni abiria
  8. A

    JamiiForums Tanzania Line za wakala zinapatikana, karibuni

    ni mpya au imetumika namaanisha itakuwa na jina gan la mnunuz au la kwako
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Wanajeshi kwa Dereva - Hili tukio limenishangaza sana leo

    kikubwa nidhamu ndogo ya madereva kwa vyombo vya usalama.mm naona wamemtendea haki yake kwan ameona fika kuwa ni gar ya viongoz wa jeshi akafanya jeur kulipiga pas,swali la kujiuliza ni kweli imetokea km ajali au ni matumiz ya gar km silaha hapo ndio watajua ni trafik kesi au uhalifu mwingne.ila...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wengi hawajui kwanini tunasema 'Life begins at 40'

    kweli MKUU
  11. A

    JamiiForums Tanzania Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    tatzo ni wasimamizi wa uandikishaji katika maeneo husika hizi mashine ni nyingi ukizipangia utaratibu mzuri mm nimesimamia na hatujapata kero za kuacha watu ingawa bvr zinachangamoto ila sio za kutisha hvyo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Napata shida sana na watoa huduma za Airtel

    kweli Airtel tatzo mm juzi nituma pesa kwa wrong number nimepiga hawapokei ukweli nachukia Airtel money co rafiki kwa wateja
  13. A

    JamiiForums Tanzania msaada loan priority NACTE

    nisaidie guide book ya nacte ndugu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa guide book ya NACTE

    naomba msaada wa guide book ya nacte naona inanizingua kudownload
Back
Top Bottom