trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Hasa unapohitaji kusaidiwa masuala ya Airtel money.
Hasa unapohitaji kusaidiwa masuala ya Airtel money
Hasa unapohitaji kusaidiwa masuala ya Airtel money
wapi sasa au wote?
now you are talking, nadhani ni ignorance... ni ujinga si upumbavu..Pia wengi wao wa watoa huduma siyo wataalam kabisa cjui wanatumia vigezo gan kuwajiri hawa watoa huduma.
Yaani customer care mitandao yote ni majanga.
Mi mwenyewe najuta, ilinusurika elfu 60 , sasa jitihada zangu zangu za kuiokoa elfu 30 nazo, zinakwamishwa nao.kweli Airtel tatzo mm juzi nituma pesa kwa wrong number nimepiga hawapokei ukweli nachukia Airtel money co rafiki kwa wateja
Voda dakika sifuri hela inarudi kwako karibun sana
Dah, ebhanaeeeh, Sina taarifa hiyo ... kwa kweli kuna haja ya kutoa angalizo kwa wateja wote na hasa wa huduma hizi za hela kwa njia ya simu, wauepuke kabisa mtandao wa Airtel...Juzi tu walikuwa wanaandamana kuwa wanalipwa 270,000 kwa mwezi wakidai nyongeza ili iwe 400,000
Hivyo lolote lile we kubali tu