Recent content by Apitakujilamba

  1. A

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema, mlishatwambia kuwa kushiriki chaguzi kwa sheria hizi za sasa ni Ujinga

    Haya mambo ya uchaguzi nchi za africa ni hovyo kabisa
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Twaha Kiduku(Tz) amkalisha Sirimongkhon(Thailand)

    Inaonyeshwa dstv channel ipi wakuu
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naomba link ya kuangalia hiyo mechi, please
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Half time 0-2
  5. A

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zinduka 5 - Kwani Watanzania ni wao peke yao? Sote ni sote

    Ashiiiii my dada....kwani lowassa sio CCM, subiri ashinde uone uteuzi wake.... Lembeli ndiye atakuwa waziri mkuu na wengine kibao
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ninapenda Magufuli ashinde lakini nataka CCM ishindwe!

    Mleta mada ulichoongea kinamashiko kabisa, kiukweli Dr Magufuli anaweza akaifanyia makubwa nchi ya Tanzania kuliko Lowasa. Ni kweli watu tumeichoka CCM lakini vilevile CHADEMA sio suluhisho. Watu wengi tunalalamikia tatizo ni mfumo lakini tumesahau kuwa mfumo hutengenezwa na watu. Mtu mmoja...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Ni kweli mkuu, ila unafikiri kwa nini mtu ukiomba scholarship unapewa form ukapime afya vipimo vyote halafu ndio unachaguliwa. Ushawahi kujiuliza hilo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa alimuhofia Magufuli tangu 2005

  9. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa alimuhofia Magufuli tangu 2005

    Ukidadisi jinsi mambo yalivyoenda kuanzia mwaka 2005 hadi kipindi hiki cha mwaka 2015 utagundua kuwa Lowassa alimuhofia Dr Magufuli. Mwaka 2005, Kikwete alipochukua uraisi kwa kusaidiwa na Lowassa na pia kuahidiana kuachiana kijiti, ifikapo 2015. Lakini Lowasa kama waziri mkuu aliona mbali...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jionee mafuriko ya Kagasheki jimbo la Bukoba Mjini

    Hiiiiiiiiiii kwani mafuriko ndio ushindi, kura ni siri ya mtu, mafuriko wanakuja kusikiliza tu mwisho wa siku mtu anaamua kwenye sanduku la kura. Kuna mtu anaweza kubadilisha mawazo sikunde 1 kabla ya kudumbukiza karatasi. Kwa hiyo watu mnaofikiria mafuriko ndio ushindi YOU ARE TOTALLY WRONG
  11. A

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, asante kwa utapeli huu

    Hii tabia ya kuwatetea upinzani kutofanya vizuri majimboni vyao kwa kisingizio kuwa wao sio serikali siyo njema kabisa. Hawa akina Mnyika wanasubiri wapewe habari za ufisadi kisha hao mjengoni kwenda kuripoti mjengoni. Hilo ni jambo jema lakini sio kusudi kuu la sisi kuwachagua. Wabunge vijana...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hizi kura za maoni ya kuteuliwa ubunge kati CCM na CHADEMA hazina uwiano kabisa. Kwa mfano mteuliwa wa chadema ameshinda kwa kura 65 kati ya 125 ya wajumbe wote, wakati ukija CCM mteuliwa ameshinda kwa kura 16356 kati ya kura 25,650. Sasa unakuta watakaopiga kura wote mwezi wa kumi wapo 50,000...
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naombeni link ya kuangalia huo mpira
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread, COPA America 2015

    sasa game itachangamka
Back
Top Bottom