Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Pastore anarudia kiwango chake chat Serie A
Niambie nini kinaendelea ee bana Argentina wanatolewa nini huku kwangu kila kitu ni hovyo hovyo,umeme umerudi now,Dstv inaniambia sijui ujinga gani,najaribu online connection inazingua.......mhh!!!
2-0 wanaongoza mpaka sasa. Hiyo nchi ina laana, umeme hadi muda huu wanakata, smh!
Safi sana,mwezi mpya huu lazima wafanye yao hapo itakuwa kuna kitu kilikuwa kinatolewa,.. ....Thanks God mambo yamejipa tuko live wote.
Unanisapot kweli? Mbona naona uko na Papupi upande mmoja?
Pole sana bidada unamkosa Messi, leo anatoa mapande tu hataki kufunga soon atakuwa na hatrick ya mapande tu
Ah wapi! Mi niko na wewe tu
Asante,Duh!! Thank God Tupo live sasa pamoja ngoja nione highlight yalikuwaje hayo mapande......
Mascherano and Kirikuu are one yellow away each, from missing the final. Vamos Ref
Sitaki kuamin kama unasaliti kambi?!