Recent content by ANYONE1

  1. A

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kuku anatakiwa ale vyakula vya ainangapi,na anaweza tumia kilogram ngapi kwa mwaka namaanisha kuku wa kienyeji.? Msaada tafadhali
  2. A

    Dr. Slaa asipewe nafasi tena ndani ya CHADEMA, aachwe aende zake

    Anajivunia kuwa mtanzania Dr.Slaa sio mroho wa madaraka kama ccm na makapi wake,hana haja na uongozi,zaidi alikuwa anasaidia jamii ijitambue lkn makapi ya ccm na pesa zao wamenunua haki za watu
  3. A

    Nauza mayai ya kuku wa kienyeji

    Wewe unashiling ngapi !mbona unalialia hivyo?!
  4. A

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Hayo maziwa yanauzwaje kwa lita? Na atakuwa anabeba kiasi gani kwa siku? Analipwa keshi au anakopesha?
  5. A

    Lowassa, Mbowe siri nzito hadi kubadili mgombea mwadilifu aliyependekezwa CHADEMA

    Ni bora chadema ingepoteza ikiwa na dk.Slaa kuliko ikipoteza ikiwa na lowasa,maana vijana na jamii iliyo waamini chadema watagawanyika na kukoswa wapi wakimbilie maana tayali wanaotuhumia ufisadi wanasafishwa na chama chao! Nasema hii ni hatari na tujiandae kisaikolojia kuendelea kuona ufisadi...
  6. A

    Lowassa, Mbowe siri nzito hadi kubadili mgombea mwadilifu aliyependekezwa CHADEMA

    Nakuunga mkono 100%. Slaa amepigania chama kitambo na anauwezo zaidi ya lowasa ambae anamakovu kibao,ktk hali ya kawaida chadema wamepunguza mvuto kwa wanainchi na wasahau kushinda zaidi ni machafuko tu!
  7. A

    Usahihi dhidi ya propaganda ya gazeti Raia Tanzania na vibaraka wake juu ya Dr.slaa.

    Ushindi wa chadema na uhai wake uko kwa Slaa na kama mnabisha ajitowe muone ambavyo chadema itapoteza umaharufu na umashuhuli wake! Kitendo cha chadema kumpokea lowasa na kumuona kama Mungu wao na bila masharti hii ni hatari sana na lazima chadema tukubali kupoteza kwa wananchi.
  8. A

    Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

    Kama cdm wataamua kumsimamisha EL kupeperusha bendera ya ukawa basi nitaamini wapinzani tutasubili sana kuchukuwa nchi! Lakini pia nadhani itabidi zzk arudishwe kundini maana makosa yake ni mepesi kulinganisha na huyo fisadi mkuu na mnafiki kwa wananchi wa Tz,maana yeye alijua ukweli kuwa...
  9. A

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Mkuu umezungumza kweli tupu na mimi naongeza kuwa kwa mwendo huu hakunachama cha kizalendo wote wapigaji tu! Dr.slaa na lisu wanachakutuambia wanachadema ! Naomba kama haya yasemwayo ni tetesi basi yabaki hivyo lkn dr.slaa ama mwingine yoyote lkn co huyo lowasa tutapoteza tena
  10. A

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Unajua ccm tumewachoka maanayake ni watu wake na sio rangi za nguo zao! Lowasa ni ccm walewale najua anaweza kuwa msafi lkn lisemwalo lipo! Apokelewe kama mbunge tu na sio kugombea urais kitakachofanyika tutakuwa tunapambanisha ccm @ kwa ccm jambo ambalo hatutaki wananchi wa kawaida!
  11. A

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Ninaimani na slaa na wengine wote na sio lowasa hatakama ni msafi lakini wakati huu hatufai kuwa rais, alipaswa kuwa mwazi wakati wa richmond na mauchafu mengine yaliyofanyika wakati wake.
Back
Top Bottom