Recent content by anxiety

  1. anxiety

    Kuna wanawake wapo karibu zaidi na ndugu zao kuliko mume, hata baada ya kufunga ndoa na kuanzisha familia hutaka kurudi kwao na watoto, mnawaonaje?

    Kuna ng'ombe imerudi Kwao na mtoto mama mkwe hataki hata nimuone mtoto juzi nilipiga Simu nikawachana huyo mtoto sio damu yao damu yao ni hiyo ng'ombe iliyo rudi
  2. anxiety

    Wanazengo

    Nimepigwa nimeenda mpaka lock up wanazengo bint yangu bado mdogo nmetoka mwanza nmemfuta mosh nmettoroka kazin mwanamke kanikana Yuko fuel station station lawate
  3. anxiety

    Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

    Tatizo lako liko upande wa ubongo utafanya mazoez sana matokeo ni zero
  4. anxiety

    Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

    Kwa ufumbuzi wa tatizo lako nicheck PM ila usije na hela za maandazi
  5. anxiety

    Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5

    Nje na hiyo taaluma yako una ujuzi gani mwingine
  6. anxiety

    DOKEZO Mimi na Mke wangu tunatishiwa kuuawa kwa tuhuma za uongo

    Uwe unatembea na panga au nondo mwalimu
  7. anxiety

    Oil station

    Tuliweka mafuta zaid ya laki Tisa shida mambo yalkua meng ubusy na kuchoka route za kila siku sikuhangaika kubeba risit
  8. anxiety

    Oil station

    Hapana mkuu
  9. anxiety

    Nani anakijua vyema City College of Health and Allied Sciences Dodoma Campus

    Mkuu mpeleke tu jeshin hata kama hana akil pesa utapata elimu za vyuo vya kati ni za kiwaki
  10. anxiety

    Oil station

    Unaweza ukanipa mawasiliano yake
  11. anxiety

    KERO Watumishi wa Fountain Gate tuna hali mbaya kiuchumi, Serikali itusaidie tupate stahiki zetu

    Acha Kaz mkuu tutafute passport tukabebe box USA hapa bongo kama siyo mtu wa system kutoboa labda ufuge majini
Back
Top Bottom