Recent content by Antonio jokotinda

  1. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa mabinti huku mtaani hizi simu kali hivi wanapata wapi?

    Ningekuona una busara kama ungetumia luga moja kuliko ivi au kwa akilizako umeona ukichanganya luga ndo utaonekana msomi sana japokuwa umeandika point ila umetukera
  2. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke pale unapoambiwa kitu fulani kinalipa, tuliza akili kabla ya kufanya maamuzi

    Huwezi kuamini kati ya hizo ulizotaja hakuna ambayo cjagusa na still cjapata ridhm
  3. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni mwenzenu

    Habari za humu wana jamvi. Naamini Jumapili imekuwa poa sana, ambao mambo hayajakaa sawa Mungu atufanyie wepesi. Mimi sio mwenyeji sana humu JF ila naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa muda mrefu nimekuwa katika hali ya sintofahamu kuhusu hali hii jicho langu limekuwa likicheza sana...
  4. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Binti wa Kazi anahitajika

    Kama vigezo umeweka wazi kwanini mshahara iwe kificho na amini wewe ni mtu mwelewa weka mshahara wazi tujue
  5. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Ume simplify sana mkuu na ingekuwa rahisi kama unavyosema kila mtu angekuwa anafanya hiyo biashara otherwise mtajie na changamoto zake utakuwa umemsaidia sana kuliko kumwaminisha kirahisi kiasi hicho
  6. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Furaha yatoweka CCM, ushindi kama msiba, wapinzani washangilia. Rais ageuka kauli zake za awali kanisani Dodoma

    Wewe ndo nikushauri upanue mawazo yako think beyond , hivi unajua kuna tofauti kati ya kumtumikia MUNGU na dini kama taasisi??
  7. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani mtu anaweza kuongeza upeo wa kufikiria?

    Hapo kwenye meditation mkuu naomba ufafanuzi zaidi plz
  8. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Kasisi (Padre) wangu wa leo sijui 'kavurugwa' na nini hadi akaamua kujikita zaidi 'kimahubiri' na hili eneo pekee

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii jiwe la gizani
  9. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1.5 nataka kufungua biashara hii, wazoefu nahitaji mawazo yenu

    Unapatikana wapi mkuu nataka tuyajenge
  10. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafikiria kuanzisha biashara ya duka la kuuza vifungashio na mifuko mbadala

    Vipi garama ya kuagiza China mpaka hapa
  11. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Majibizano ya Mh.Rais na Mkurugenzi wa TBA leo Chamwino yanaonesha jinsi Rais asivyofuata ushauri wa Wataalamu wake, Rais asivunje sheria

    Kwa mawazo haya nimetilia mashaka uwezo wako wa kuchambua hoja na kutathmini mambo hasa hapo uliposema wagonjwa wana panda hadi gorofa ya pili najiuliza ivi upo serious unaumwa then upande hadi gorofa ya pili hata kama utumie wheelchair bado hainingi akilini
  12. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Na wewe badala ya kuandika kiaso sema kiasi pia usichanganye luga
  13. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania MB za Vodacom kuwahi kuisha

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
  14. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Namini bado tutaona drama kama hizi nyingi mpaka kufika 2020
  15. Antonio jokotinda

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe kakosa nini?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fact
Back
Top Bottom