Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

twijuke

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
548
500
Kama ambavyo nimeandika hapo juu, nilipata Neema ya kufungua kampuni ambayo imepata usajili mwaka huu, ina vibali vyote.

Nahitaji mtu aliye tayali ili kufanya kazi pamoja. Kampuni ni mpya na ina ofisi kati ya majengo makubwa mjini kati Dar es salaam. Taarifa nyingine zaidi kwa aliye tayali karibu ofisini.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami 0754750006.
 

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
3,821
2,000
[QUOTE="twijuke, post: 33528296, member: Kampuni ni mpya na ina ofisi kati ya majengo makubwa mjini kati Dar es salaam. Taarifa nyingine zaidi kwa aliye tayali....[/QUOTE]

Hivi huwa mnawaokota kabisa hao walio ‘tayali’ wanaingia kingi..?
 

twijuke

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
548
500
Samahani ndg zangu nimeshindwa kupata access ya kufanya masahihisho kwenye kichwa cha habari. [QUOTE="Echisute,
 

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
13,726
2,000
Samahani ndg zangu nimeshindwa kupata access ya kufanya masahihisho kwenye kichwa cha habari.
Swala sio kufanya marekebisho, huwezi ukawa serious kiaso hicho unaandika vitu visivyoeleweka hujui hata shughuli zinazofanyika kwenye kampuni yako inawezekanaje
 

Drizzle

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
3,859
2,000
Eleza vizuri kama unahitaji wafanyakazi au ni namna gani ya ushirikiano unatafuta boss
 

twijuke

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
548
500
Ndg uliyeweza kufanya upendo wa kufanya marekebisho kwenye kichwa cha habari nakushukuru sana. Nimebeba dhamana kama mwenyeji kwenye tangazo hili, mwenye kampuni ni ndg yangu, document zote ziko sawa, kampuni si ya mkononi, ina ofisi tena kwenye jengo linalojulikana. Namba hii 0754750006 utakutana na muhusika kila kitu kikowazi.
Nimeshakusaidia kusahihisha, haya endelea marekebisho madogo madogo.... kwenye ‘tayali’ weka ‘tayari’.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom