Binti wa Kazi anahitajika

Bwana Jela

Senior Member
Nov 25, 2019
131
655
Anahitajika msichana wa kazi za nyumbani
Ni kuhudumia Wazee mke na mume wake

Kazi zake kubwa itakuwa ni

Kufua
Kwenda sokoni
Kufanya usafi wa mazingira
Kuhudumia na kulisha kuku

Kupika mara moja moja
.......

Vigezo
Awe amesomea upishi
Awe amemaliza kidato cha nne
Awe anashiriki misa za nyumbani inapokuwa nyumbani
Awe mwenyeji wa mikoa ya Mbeya,musoma,shinyanga Au simiyu

Asiwe mvivu, Asiwe mwongeaji sana kupita wenyeji wake,
Asiwe na kiburi au majivuno pia asiwe na familia

Utapewa ajira ya miezi sita ili kuchunguza tabia yako mkiendana utaongezewa mkataba

Wenyeji wanaishi Tegeta

Mwenye kuhitaji tuwasiliane
 
Unapozungumzia asiwe na familia unamaanisha nini?
Au mimi ndio sijui maana ya familia.
 
Anahitajika msichana wa kazi za nyumbani
Ni kuhudumia Wazee mke na mume wake

Kazi zake kubwa itakuwa ni

Kufua
Kwenda sokoni
Kufanya usafi wa mazingira
Kuhudumia na kulisha kuku

Kupika mara moja moja
.......

Vigezo
Awe amesomea upishi
Awe amemaliza kidato cha nne
Awe anashiriki misa za nyumbani inapokuwa nyumbani
Awe mwenyeji wa mikoa ya Mbeya,musoma,shinyanga Au simiyu

Asiwe mvivu, Asiwe mwongeaji sana kupita wenyeji wake,
Asiwe na kiburi au majivuno pia asiwe na familia

Utapewa ajira ya miezi sita ili kuchunguza tabia yako mkiendana utaongezewa mkataba

Wenyeji wanaishi Tegeta

Mwenye kuhitaji tuwasiliane
Bila shaka mshahara apa ni laki tatu
 
Unapoweka vigezo vingi kama hivyo weka pia mshahara hadharani tofauti na hapo isiweke masharti yote hayo.
 
Back
Top Bottom