Recent content by antidot

  1. antidot

    Hili tunda linaniua! Nifanyeje ndugu zangu?

    Hakika siwezi pitisha usiku mmoja bila kula tunda hili Mara tatu, saa 4 usiku, 8 usiku na 12 alfajiri! Nashindwa kujizuia jamani, nimejaribu sana kujizui walau iwe Mara mbili au moja ila nashindwa! Hali hii imesababisha afya yangu kudorora sana, nimekonda sana hadi najiogopa? Naomba mnisaidie...
  2. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kesho ilifika! Maskini ikawa zamu ya simba jike kuwa f**ked
  3. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Fasta fasta weekend ishaanza katika! Hakika kweli hapa kazi tuu, tutapumzika tukiwa mbinguni.
  4. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Gharama yake ni unyenyekevu pekee
  5. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    50 mtanyang'anywa kazi 50 watapewa kazi! Maisha fifty fifty
  6. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Shehe wangu najaribu Ku relate umuhimu wa pweza kwenye kizazi hiki nashindwa kukuelelewa shehe
  7. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hizo nahisi ni janja janja tuu! Kuna sehem waelekea mkuu
  8. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ilikuaje zaidi ya fashion mpya ndugu yangu! Tz ya viwanda hii
  9. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pweza pweza! Sakayo mbona simuelewi t9
  10. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Maisha ndiyo yatufanya mda mwingine tupotee online
  11. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tanga raha jamani , napenda sana pale panaitwa kange, nipo t9 , majukum mengi ndugu yangu
  12. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ama washirika wake
  13. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Shemeji shemeji mwisho wabongo huzima taa! Any way ntamsalim mkuu
  14. antidot

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Soldier na mtutu, tupigane pamoja kuilinda furaha yetu
Back
Top Bottom