antidot
Member
- Dec 30, 2016
- 96
- 195
Hakika siwezi pitisha usiku mmoja bila kula tunda hili Mara tatu, saa 4 usiku, 8 usiku na 12 alfajiri! Nashindwa kujizuia jamani, nimejaribu sana kujizui walau iwe Mara mbili au moja ila nashindwa! Hali hii imesababisha afya yangu kudorora sana, nimekonda sana hadi najiogopa? Naomba mnisaidie njia au dawa ya kupunguza hamu ya tunda hili...