Recent content by Antidius Mutalemwa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Nishati na Madini

    Hii inamaanisha mfumo wa luku haujawafikia baadhi ya watu nchini!!?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Eti kwa sababu majina ya watoto wetu yamefanana ameanza kutengeneza mazingira ya mapenzi

    Bila shaka uzuri kampita mkeo. Je ulichagua vibaya!? Je mkeo anasemaje unapomweleza hali halisi? Km hujamweleza ,kwanini bado? Maamuzi unayotaka kuyachukua yana matokeo hasi au chanya ktk ndoa na maisha yako kwa ujumla!!?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jamaa akodi wapenzi wa zamani kwa pesa wasimamie mke wake kwenye Harusi kuwakomoa

    Kuna namna nyingi kumfundisha mtu. Kuwapa hela hajakosea coz ndo zinawa-drive. Inakuwaje km hata watoto yatima keshawasaidia? "Kisebusebu na kiroho papo". Mkataa pema....
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanaume kuwa na wake zao wakati wa kujifungua

    Huruma ya mtu huzaliwa. Mwanaume anaweza kuwepo na manyanyaso kwa mkewe yakaendelea vile vile coz hatua ya uchungu ilishapita. "Ugumu wa tofari hupimwa kwa tanuru".
  5. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kilimo cha Strawberries

    Nadhani inaota kutegemea aina ya Climate ndugu'angu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Treni mpya ya kwenda Kigoma ndiyo habari ya mjini! Sipandi tena gari kwenda Kigoma...

    Kura wapeni ndo lao tumaini ili kula wapate!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naumbuka mchana kweupee! Naomba nisaidieni jamani

    Kila mwezi mtoto anapoweza kuzaliwa anaishi. Matatizo ya vifaa ndo kikwazo. Km mtoto analelewa toka miez 3 anaish why miezi 8?
  8. A

    JamiiForums Tanzania ITV mnatia shaka na aibu kwa hili!

    Mengi kaingizwa matatani kuhusu Media yake kukazia issue ya ESCROW. Anajaribu ku-apolojize kupitia media hyohyo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

    Genetically ni sahihi kabisa offspring kurith kwa wazazi hadi kwa babu zake. Japokuwa uelewa kwa mtoto unachangiwa sana na UP-BRINGING Yake. Andaa mazingira rafiki na masomo & social squables!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Vijana kuleni pesa za mafisadi ila kura wanyimeni

    Muda mwafaka Kamata weka ndani. Jihakikishie ushaidi yasikukute ya Kenyata
  11. A

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

    Wameshajazwa sumu. Ni mashushu wa CCM Hao. Wachungeni sana.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya uwekezaji itakaykuwezesha kukufikisha mbali kimaisha

    Imekaa vizuri sana.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama Yatoa Amri Mkuu wa Jeshi Atiwe Ndani Katika Saa 24

    Wanene wote wako juu ya sheria kwenye nchi yetu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Waliomuua Sista Dar Wakamatwa

    Kukamatwa-sawa na hukumu yao ni habari ingine. Hatuchelewi wiki ijayo kuwakuta mtaani~! Ile ya Z'bar ya Padre alepgwa risasi ili-ishia wapi?
Back
Top Bottom