Hi! Unlike a lot of people you’re hearing from on here, I have actually tested positive for Covid-19. I was most likely exposed on March 3rd, became ill about a week later, and just received my official test results today, March 17th.
Coronavirus feels like the most devastating flu I have ever...
YOYOTE ANAWEZA KUWA TARGET KWA GAME INAVYOENDA, HII STORY IME TRIGGER MABEBERU KUONA NJIA NYINGINE YA KUWANYPNYA, NI KAMA ALERT KWA MABEBERU KWAMBA "ALAH KUMBE TUNAWEZA KUTENGENEZA TATIZO KWA KUTUMIA UGONJWA NA TUKAWAVURUGA WAAFRIKA NA TUKAWEZA KUWACONTROL" SO INABI U EXPECT MAJANGA MENGI YA...
DUH VERY NEGATIVE GENERATION, IMAGINE NAHITAJI KNOWLEDGE AMBAYO NAWEZA KUITUMIA KATIKA VITU POSITIVE, LAKINI MTU ANANIAMBIA WANAWAKE NDO WANAFAA KUJUA HIZO VITU. KUTENGENEZA VIDEO YENYE BACKGROUND MUSIC INAWEZA KUKUSAIDIA KATIKA MAMBO MENGI, HATA MOVIE CREATION HUWA KUNA BACKGROUND MU
JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
kabla ya yote, si ndo huyu makonda kawasaidia wanawake ambao walikua wana matatizo ya kuwa na wanaume wasiowajibika na malezi ya watoto, ilikuaje tena anazuiliwa pamoja na juhudi kubwa alizofanya juu yao
I am TANZANIAN and spent 11 years in America as a legal immigrant and a further 9 years in either Europe or the UK. I have lived and worked in many African countries and traveled to many more. In this context my examples and references will be concerned with south africa country.
Here’s what I...
Yani nilivoanza kusoma point yako ya kwanza ukanikatisha tamaa kusoma yalioendelea chini sababu kwanza umehusisha imani na mambo ambayo yapo real. Imani haifanyi kazi kwenye vitu vinavyotokea kwenye uhalisia, kwa maana ya kwamba hakuna connection kati ya imani unayoongelea na waafrika kutopata...
watu hamuelewi, hiyo ya kula popo ni moja ya chanzo cha tatizo kati ya uwezekano wa vyanzo vingi, inaweza kua ni poison ambayo kuna watu wanaisambaza makusudi kabisa, au ina weza kuwa ni biological specie ambayo imetengenezwa lab. usiamini sana kwenye kitu kimoja, tafiti ya kupewa changanya na...
the doctors have taken advantage of the scenario to make money, they believe that if they induce fear to the gorvement officials, they will increase their salaries. ya its tit for tat, now we are all in doctors territories and they gonna dominate us all.
nafikiri utakua na matatizo ya kiakili, lakini pia uwezo wako wa kureason ni mdogo, ungefanya research kwanza ndo uje na argument kama hiyo, tatizo umekurupuka, unahisi kubisha kila kitu utaonekana unaakili kumbe unakaribisha ujinga.
ukisikia kitu, fanya research kwanza ndo ukipinge, kasi ya...
Kwanza mkuu nikupongeze sana kwa kuleta mada kama hii mezani, kuna kipindi hata mm nilifikiria kuandika huu uzi nikiwa na the same solution ya kupanda miti, hivi wakuu mnaonaje hii tuifanye kama kampeni yani uzi utumwe kila siku huko facebook, jf, whatsapp mpaka ikae kwenye vichwa vya watu na...
Mkuu umeandika kwa uchungu sana, lakini elewa kwamba ni principle ya maisha kwamba fanya ufanyavo ili watu wawe na maisha mazuri lazima kuwe kuna low, middle na high class, hii ni all over the world toka miaka ya kina yesu.
Na itd very interesting kwa sababu inampa mwanadamu motivation ya...
MADA NZURI SANA MKUU TENA SANA, LAKINI JE, HAYA MAWAZO WENDA HATA YAKAPOTEA BILA JAMII KUYAONA, INAUMA SANA JAMII FORUM KUNA MAWAZO MENGI MAZURI YA KUJENGA TAIFA BORA, YANI KAMA SERIKALI INGEKUA INATIA JICHO LAKE HUKU KUSIKILIZA WANANCHI TUNGEFIKA MBALI, MIMI BINAFSI NIKITAKA HABARI ZENYE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.