Relax MEXICANA......
Hapo kuna vitu viwili.
1. Inawezekana kuna weakness amegundua kwako sasa anahitaji muda wa kufikiri na kufanya maamuzi.
2. Inawezekana kuna kidume amekipata ambacho ni bora kuliko wewe.
ANDAA KICHWA KWA MAMBO 2.
1. Kuambiwa kuwa safari yenu ya mapenzi hapo ndo...
Hi Jamii forum members!
I am a normal person but dreaming to see A TRILLIONEAR BILL GATES.
1. If I get a chance to see him I will ask him to fund me 1,000,000 US $ as a Capital for a business.
I will use such money to build a School and paying salaries and wages for workers for at least...
[Unamuita pembeni unamnong'oneza nakupenda lakini usiniumbue ukiona amekasirika kimbia sio pazur hpo]
Ha ha haaaaaaa..... daaah umenichekesha sana mkuu
WOSIA WANGU:
1. Ndoa ni mkataba wa watu wawili waliorithiana kuishi pamoja (Kidini ni lazima iwe jinsi ya ME na KE. Chagua unayempenda wewe ili mkataba uwe wa manufaa kwako.
2. Kosea njia utaelekezwa, ila kosea kuoa uone.
[Dkt Magufuli kamata hili jizi na fisadi Lowassa litiwe lupango. Maana hakuna na]
1. Siku Mheshimiwa atakayo timiza ahadi ya kuanzisha mahakama ya majizi na mafisadi nitamuamini.
2. Siku EL atakapo pelekwa mahakamani na kufungwa kwa sababu ya wizi na ufisadi, nitaamini kuwa EL ni mwizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.