Dogo anafanya marketing kijanja, haya bwana Wanawake wenye uhitaji huo wataku-pm!
Dah haha
Dogo anafanya marketing kijanja, haya bwana Wanawake wenye uhitaji huo wataku-pm!
Imefikia muda ata kutongoza tena naogopa kwani nahofia ata nikimpata atanikimbia kwani imekua ni kawaida yao kunikimbia sababu kubwa hasa ikiwa ni kuwa naomba game kila siku napisha siku za mwezi tu sasa jamani.
Nauliza kama mtu una mpenzi wako unaishi naye na nguvu zipo za kutosha huna mchepuko unakula vizuri kwa nini usimpe haki yake effectively ukitoa kidogo wanalalamika ukitoa full dozi kutwa mara tatu kelele.
Tufanyeje sasa
ni promo au? Kama umegundua ttizo si ujirekebishe yaisheimefikia muda ata kutongoza tena naogopa kwani nahofia ata nikimpata atanikimbia kwani imekua ni kawaida yao kunikimbia sababu kubwa hasa ikiwa ni kuwa naomba game kila siku napisha siku za mwezi tu sasa jamani.
Nauliza kama mtu una mpenzi wako unaishi naye na nguvu zipo za kutosha huna mchepuko unakula vizuri kwa nini usimpe haki yake effectively ukitoa kidogo wanalalamika ukitoa full dozi kutwa mara tatu kelele.
Tufanyeje sasa
low iq ni ugonjwa tanzania,kuna maswali watoto kule marekan wanauliza pale yahoo na wako makini kuliko wengi weru humuUshauri wa kitaabibu
Kula sana samaki kwani inaongeza sana ukuaji wa ubongo maana wengine mnasikitisha kama hii maadaa ya mtoto wa miaka 16 imeandikwa na jibaba lenye familia yake