Recent content by antanarivo

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ofa! Ofa! Binti anayejijua ni pisikali JF anakaribishwa chakula cha mchana na usiku

    Mkuu umeishia thread zako Zina walakini , una asilimia 63% za kutekwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania NMB naomba mnijibu hii hesabu

    Una mkopo kwao
  3. A

    JamiiForums Tanzania Clinic ya mama kwa walimu: Naomba kujua hii clinic ya mama jinsi inavyofanyika

    Ndio mkuu nimeona ikiwa inazunguka mahali
  4. A

    JamiiForums Tanzania Clinic ya mama kwa walimu: Naomba kujua hii clinic ya mama jinsi inavyofanyika

    Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mkulima, naomba msaada nisiaibike

  6. A

    JamiiForums Tanzania Mkulima, naomba msaada nisiaibike

    Wakuu nipo mkoa Fulani huku Kanda ya ziwa, nimelima mazao hekari 10. Nne za mahindi na 6 za mpunga Kati ya hekari 4 za mahindi hekari 2 na nusu ziko vizuri na mbolea niliwekea so sasa hivi nasubiria kuvuna hii February Kati ya hekari 6 za mpunga heka 4 na 1/2 nimeotesha vizuri na ekari 1 na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kachana na kiwembe cover la pikipiki yangu nimetafakari bila majibu

    Nilipaki home mkuu nje ya geti
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kachana na kiwembe cover la pikipiki yangu nimetafakari bila majibu

    Mimi sio bodaboda ni pikipiki yangu binafsi kwa ajiri ya shughuli zangu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kachana na kiwembe cover la pikipiki yangu nimetafakari bila majibu

    Namna lilivyochanwa ni mtu mzima maana pikipiki yangu ni ndefu na imechanwa juu sehemu ya kukalia sidhani kama mtoto anaweza fikia pale juu na mtu inaonesha wazi alidhamiria maana karudia mara nyinginyingi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kachana na kiwembe cover la pikipiki yangu nimetafakari bila majibu

    Sijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu. Sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo gani?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

    Sijajua uelewa wako wa mambo ukoje , ila now days njia rahisi ya kusafirisha pesa nyingi kwenda kokote kule duniani ni njia ya cryptocurrency na sio Fiat currency Cha kufanya nunua hard ledger wallet Ipo kama flash hivi mfano wake nimeambatanisha hapo then buy usdt zako tumbukiza humo and una...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Kupitia uzoefu wangu Mimi niliandika kwa mkono na lugha ya kiswahili na kazi nilipata
  13. A

    JamiiForums Tanzania Apanda Mlima Kilimanjaro kwa Saa 24

    Sasa km 17 ndo uushuke kwa masaa 2.5?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Apanda Mlima Kilimanjaro kwa Saa 24

    Unajua Ina umbali wa km ngapi? Usichukulie zile meta 5895 kama ndo umbali wake hizo meta ni za mwinuko kutoka usawa wa bahari na umbali kutoka chini ya mlima na kilele Cha mlima ni habari nyingine, unaweza Kuta Kuna km 60 Sasa km60 utumie masaa 2?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Imani ambazo bado hata taasisi za serikali zinatumia je kisayansi ikoje?

    Kuna baadhi ya mambo (Imani) mpaka Sasa nayashangaa kwamba inawezekanaje naomba wataalamu wa SAYANSI mnisaidie. Kwenye matukio haya mawili/ matatu niliyoyashuhudia na mm kuyaamini kwa maana results niziona 1. Wife alienda kujifungua bahati nzuri kajifungua salama lakini mara tu baada ya mtoto...
Back
Top Bottom