Recent content by ansebaluu

  1. A

    John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

    Leo nitakunywa bia sana. Afadhali msaliti kaondoka Chadema Dunia itamuhukumu.
  2. A

    Kwa staili hii ya bank tutaanza kuhifadhi pesa nyumbani!

    Kila mmoja atakubaliana nami kuwa bank ni mahali salama pa kuweka fedha kuliko kuhifadhi nyunbani. Watu wengi walishawishiwa kufungua akaunti za benki ili kuhifadhi pesa zao Kwa usalama. Pamoja na faida hii Siku za karibuni inaanza kuonekana kuwa bank ni kero kiasi Fulani.suala kama foleni...
  3. A

    Hili shinikizo la viongozi wa dini kwa UKAWA mh!

    Siku za karibuni kumezuka viongozi kadhaa Wa kadha Wa wengi wakiwa ni wadini wakitaka ukawa warejee bungeni eti wasikwamishe katiba mpya.!!! Wengine wameenda mbali Kwa kulaumu ukawa eti kuwa ndo wanakwamisha katiba mpya. Mimi nimekuwa najiuliza hivi Hawa viongozi wanaongea toka nafsini mwao au...
  4. A

    Mbunge yeyote mnafiki alaniwe asirudi 2015

    Inasikitisha sana kuna wabunge ambao wameamua kuwa wanafiki hata hoja za kijinga wanaunga mkono. Hata kama hazina mashiko kwa wananchi. Wao ni ndioooo tu. Kwa maslahi ya chama. Naomba walaaniwe wasirudi 2015
  5. A

    UKAWA kufungua kesi mahakamani leo

    Tunaona kila Siku na kusikia wajumbe waliobaki bungeni na wale wanaojiita tanzania kwanza wakiwapiga vijembe ukawa. Eti ooh! Sijui wanataka kuvunja muungano! Mara oh! Ni wanafiki! Mara hawaitakii mema Tanzania ! Mara kuwakejeli eti hata wasiporudi bungeni wao watapitisha katiba inayokubalika na...
  6. A

    Donald Mtetemela vs Valentino Mokiwa

    Hawa ni maaskofu wawili wa Anglikana, mmoja mstaafu na pia amewahi kuwa kiongozi wa Anglikana Tanzania. Huyu ni Askofu Donald Mtetemela na sasa ni mjumbe wa bunge maalumu la katiba. Askofu Valentino Mokiwa yeye ni askofu wa Anglikana jimbo la Dar. Sasa tofauti yao ni kubwa. Mtetemela ambaye...
  7. A

    nini kimetufikisha hapa?

    Kwa Siku za hivi karibuni kimekuwa na sintofahamu bungeni. Matusi' vijembe na kelele za zomea zomea ndio mwendo Wa binge. Je nini kimetufikisha hapa Kwa mtazamo wangu. 1. Maslahi ya vyama 2. Kutokua na nia ya dhati ya kupata katiba mpya Kwa upande Wa chama tawala 3. Chama tawala kutokubali...
  8. A

    CHADEMA kujifunika Blanketi la UKAWA ni mkakati wa kurudisha matumaini yake?

    Kuna habari nilisoma ktk gazeti moja kwamba viongozi Wa dini wakemea ukawa-nje kuhihusisha na mchakato Wa katiba mpya. Eti kuongelea mchakato kunawachanganya wananchi! Walienda mbali kiasi cha kushauri vifutwe! Hivi Hawa viongozi SWAPO serious kweli? Mbona raisi alipoponda rasimu ya tume...
  9. A

    Wanaomkashifu jaji Warioba wana maslahi binafsi

    Mwenye macho haambiwi tazama. Wote tunaona jinsi siasa ilivyoharibu mchakato mzima Wa katiba mpya kuna ambao wanatangiliza maslahi mbele hasa chama tawala. Kuna ambao wamejipanga kubadilisha kabisa alichokusanya warioba. Kufukia malengo yao mbinu mbalimbali zinatumika kama kutumia vyombo au...
  10. A

    Tuikubali rasimu ya warioba au ya ccm?

    Nimemsikia mbunge wangu Wa ccm akisema Ndiooooooo Kwa nguvu akitaka kura ya wazi. Mimi binafsi kama mpiga kura wake sikubaliani naye. Kwangu naona maslahi yameharibu kila kitu.
  11. A

    Bunge maalum la katiba lahairishwa jioni hii baada ya vurugu kutokea

    Hivi wanajadili rasimu ya katiba ya warioba(wananchi) au rasimu ya ccm? Mimi tayari nimeshajiandaa na kura ya hapana Kwa rasimu ya ccm
  12. A

    Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Habari zenu wandugu? Naandika habari hii nikiwa na majonzi sana. Sitanii wala sina hila bali namaanisha. Kwa muda mrefu sana Watanzania walisubiri kuona wanapata katiba mpya. Duniani kote inafahamika kuwa katiba ndio muongozo uliochaguliwa na watu wa nchi husika kuwaongoza katika mambo...
  13. A

    kuvunja muungano hapana ila serikali tatu ndio chaguo la wengi

    Sita kasema atapambana na wanaotaka kuvunja muungano kwa kiasi Fulani sawa ila isijekuwa anataka kupinga serikali tatu ambalo ni ombi lawananchi wengi waliotoa maoni.
  14. A

    Watanzania mushanifahamu?! Tumeliwa!

    Kwa wale wanao fuatilia mchakato wa bunge maalumu la katiba washanifahamu. Kuna mambo yanayoendelea yanayoshadidisha kuwa mchakato wote wakutafuta rasimu ulikua Bure 1. Mtu ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa au kuna dalili kuwa mafisadi tayari wana mkono wao. 2. Hakuna nia thabiti au...
  15. A

    Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

    Watu wengi huwa wanamuona mtikila kichaa lakini tunaomwelewa tunaona ni mzalendo Wa kweli. Binadamu si mkamilifu. Yapo machache anakosea ila maoni yake mengi ni excellent. Mfano alitetea mgombea binafsi mpaka mahakani watu wakamuona kichao Leo hii kila mmoja anataka haki ya mgombea binafsi...
Back
Top Bottom