Wanaomkashifu jaji Warioba wana maslahi binafsi

Wanaomkashifu jaji Warioba wana maslahi binafsi

ansebaluu

Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
21
Reaction score
9
Mwenye macho haambiwi tazama. Wote tunaona jinsi siasa ilivyoharibu mchakato mzima Wa katiba mpya kuna ambao wanatangiliza maslahi mbele hasa chama tawala.

Kuna ambao wamejipanga kubadilisha kabisa alichokusanya warioba. Kufukia malengo yao mbinu mbalimbali zinatumika kama kutumia vyombo au waandshi wahabari dhaifu.

Kutumia wasomi wasio na misimamo sahihi kama Dr. Bana. Ajabu hata prof shivji anapinga maini ya wananchi! Kuna ambao wanaona kama rasimu ni ya warioba si maoni ya wananchi. Haya ni mawazo mufilisi:

Kwa mtazamo wangu wanaomkashifu Warioba au kupinga rasimu wana maslahi binafsi.
 
Back
Top Bottom