Recent content by anonymous_blue

  1. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

    Kwan shida ikwap kuuliza nyie ni wakristo?? kwasab dini ya islam hairuhusu mambo ya kupiga picha mazishi ila kwa wakristo wao hawana shida wanaruhusiwa kupiga picha
  2. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Stop watching porn 🛑🛑
  3. anonymous_blue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilitembea naye kweli, akapata mimba... Lakini natatizwa na hili

    Siku anajifungua we ulikua wapi inawezekan alijifungua kabla ya siku anazokwambia.
  4. anonymous_blue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Uamuzi ni wakwake saa kwann mnamuekea maneno mabaya..kila mtu ana haki ya kuchagua kipi kinamfaa katka maisha yake hamna kupangiana
  5. anonymous_blue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

    Achana na kivuruge uyo jitaid ukate mawasiliano moja kwa moja pia hilo litawezekana kama utarudisha moyo wako kwa Sir God..Wekeza moyo wako kwa mke wako na watoto wako huyo mwanamke ni malaya na itakutafuna kwa kosa ulilofanya sjui mke wako anachkuliaje ilo swala
  6. anonymous_blue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wana huruma sana!

    Muonekano sio kitu kikubwa kwa mwanaume smetyms madem wanapenda mtu kisa mcheshi tu
  7. anonymous_blue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, Wanandoa wengi wameachana ila wanaishi nyumba moja

    Wanandoa tunakomenti wapi?
  8. anonymous_blue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Je ipo tayr kubadili dini
  9. anonymous_blue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

    Abhandu bha kolile
  10. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

    Haya ni mambo ya imani na kuamin hakuna alie wai kuwaon hao manabii wala M/Mungu kwaiyo ss 2naamin 2. Alieuliz swal hana imani ata umjib vp atazd kuuliza na hatorodhika
  11. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Nikiifikiria dunia, naona bora hata nisingekuwepo tu

    Daah life ni gum mazee sjui umewaz nn mpk kuandk hii thread.. sema tumtegemee Mungu kila kukicha [emoji1545]
  12. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisaikolojia niache tabia ya ulevi

    Nakupa pole sana ndugu. Jotahid kuwekeza muda wako wa ziada kuingia gym either kama ni baada ya kazi jion pia jiepushe na marafiki mnaokunywa nao pombe lakin pia ikiwezekana pesa yako usiwe unaishika mwenyew omba m2 unaemuamin kama mama mzazi awe anakutunzia
Back
Top Bottom