Recent content by anonyme

  1. A

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    What business have you reading the bible? Hivi utaenda dunia ya kwanza, nchi kama marekani ukawaletea suala la kuchinja kibra? Inaelekea tunapoelekea ktk space exploration age waarabu wakienda mwezini watakua wanaelekeza kibra. kwanza tunapoenda tz suala la kuchinja litakua automated kwa...
  2. A

    Mbowe: Tutashika dola kirahisi 2015

    Mie nadhani umejibiwa vizuri CDM cant be any more careful than it is, coz fitina za ccm sio siri - hawana nia ya dhati ya kudumisha demokrasia ni presha za magharibi tu zinatukeep afloat. kuna watu ktk ccm vingunge, hawaamini ccm will ever lose power wako tayari kufanya lolote liwezekanalo...
  3. A

    Natangaza kutonunua tena nyama ya ng'ombe kwenye butcher

    Njooni huko moshi machame /kibosho /Hai n.k huku tunajichinjia kitoweo daily asee hakuna hussle wala haita kuwepo kwanini ulazimishe kuwa fulani akichinja ndio sahihi. Hawa watu wanataka kutupelekesha kama mwembe chai shida hayupo nyerere wa kutoa msimamo ktk chama na kuwanyoosha hawa. wengi wao...
  4. A

    Mhe. Mnyika live ITV katika 'Malumbano ya hoja'

    One could urgue Itv ni makada wa ccm they usually call in ministers to clear the air with their 'dakika 45' it is very obvious its an elite media
  5. A

    Mhe. Mnyika live ITV katika 'Malumbano ya hoja'

    Hiyo taarifa we unadhani kwanini inacheleweshwa kama technology ya kurusha live ipo its just muzzling the press. wanataka kuedit bunge!! Hata mchakato majimboni ulwahudhi. Suala la kuedit na kukataza binge kurushwa wazi hiyo haipo popote duniani iko bongo tu tunazidi kuwa mabongo lala. some...
  6. A

    Athari za Matokeo ya Kidato cha IV 2012: Vyuo Vingi Kukosa Wanafunzi wa Kudahil

    Kama zingetajwa kumi bora kungekua na shule ya serekali hata moja? Mie nimesona miaka ya tisini, ilikua fahari kwenda tabora boys, ilboru na tabora girls n.k naona sasa watoto wao hawasomi huko nao hawaoni shida.
  7. A

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Hata Bill Gates, Mark zuckerberg,Larry Ellison na wengine wengi hawana vyeti na wamefika mbali sana kuliko wengi tulio na vyeti. Elimu ni ile inayokusaidia kuifaidisha jamii inayokuzunguka na sio vinginevyo. college droppers wengi huwa wanafanya vizuri
  8. A

    Resign! Ma'am Speaker... We told you so...

    In years to come our grandchildren will look back and wonder how we let a few scoudrels do what they do and it works before our very eyes- ila watoto wa nyerere, lisu, mnyika, mbowe slaa, na wengine hawatakua na cha kuhaibika. CCM has defied its founders creed and surely it will fall, pango la...
  9. A

    Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

    Genesis 16:12 ni metaphor inayomfananisha Ishmael na punda mwitu imebebewa bango sana ila what is writen is writen hata ktk quran. Si ajabu waarabu wa kisasa wakashupalia hilo. Lakini hata quran pia inatumia mifano ya punda na watu. Surah 62:5 "The likeness of those who were charged with the...
  10. A

    Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

    Haaaah umerudi Sijali. Hebu nijuze tatizo ni nini? Mie najua Hamas hawataki kutambua jewish state kama alivyoitambuaYesser Arafat na Sadat. Historia ya ulaya magharibi, mashariki na hasa mashariki ya kati is complicated at best. I would appreciate an insight into this perculier never ending...
  11. A

    Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

    again I insist kuna ultra orthodox jews and moderate and secular jews ambao ndio wengi mfano hata mama yake obama ni mmoja ya hawa kama angekua anaona husein obama ni punda au angelelewa hivyo angezaa nae? hata wao kwa wao wana beef kwani hawa ultra orthodox hawakubali kwenda jeshini wao wako...
  12. A

    Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

    This is not a unique case. Nenda south africa kuna mitaa mtu mweusi haruhusiwi kupita labda awe billionaire. Hata hapa niliwahi tembelea Njiro ppf Arusha kuna mitaa ya wenye cash huwezi pita ina road blocks. Nenda Rwanda they dont intermarry with other blacks. Hata sie waafrica kwa waafrica tuna...
  13. A

    Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

    dunia imebadilika sana tokea hapo hata nyerere aliona kasi ya ulaya magharibi inatisha. Lakini mie nashangaa kwanini kila mtu anashabikia vikwazo dhidi ya Israel wakati hamas wanafanya double attrocity. wakipigwa wanatumia mwamvuli wa international support kujiandaa tena kujipanga zaidi...
  14. A

    Breaking News-Tanzanian Ivory Worth $1.4 seized in Hong Kong

    This is so like tz now.#uwajibikaji
Back
Top Bottom