Kwanini waarabu weupe wanawabagua waarabu weusi?

Status
Not open for further replies.
Waarabu weusi wanabaguliwa sana na waarabu weupe achilia mbali wewe muafrika, wewe muafrika ni issue nyingine kabisa, nchi za kiarabu sijui kwa nini zina ubaguzi sana kwa watu weusi .
Ukienda europe utabaguliwa sana lakini ubaguzi wake sio kama wa waarabu.
The safe place for african ni Afrika.
Tulilinde bara letu..... Kila sehemu muafrika anabaguliwa akienda except Africa tu

Soma na hii:

10495_490200104335274_845987202_n.jpg

I have never seen such a divided people in my life! Black caribbeans think they are more superior than Black Africans; black Americans think that they are more superior than black caribbeans and black Africans. Then even among black Africans, there exists a blantant division along tribal lines ---courtesy of colonialism. What is wrong with this picture folks?!? Everything! And we are here on Jamii Forum talking about black unity. This virus of disunity is probably the most dangerous virus worse than HIV which threatens us as a people. I am pleading to all black people all over the world---Europe, North America, Africa, Asia, etc., to please embrace the spirit of oneness, one love and destiny. Africa can never stand in division.

Mbuzi Mzee
 
huyo Amii atakuwa na matatizo ya kiakili hasa hasa saikolojiko problems,pamoja na kukataliwa kote huko hawakomi tu!!
wapemba kweli mna mambo.!!

nakupa mfano mmoja huko uarabuni,dubai,oman,qatar,yemen etc zamani walikuwa wanachukua wafanyakazi wandani kwa wingi toka East Africa lakini siku hizi wanachukua toka india,pakistan,malaysia,indonesia na fillipino ka sababu wanasema hata ikitokea bahati mbaya mzee mwenye nyumba au mtoto wake akampa mimba huyo house girl mtoto atakayezaliwa atakuwa sawa na wao lakini ukichukua mwafrika wanasema wanaichafua damu yao.
hawa wa2 mi nashangaa sijui tunawababaikia kwa nini sijui ni hiyo rangi au nywele zao?? sisi tunawapa nyadhifa kubwa kubwa hapa kwetu kitu huwezi kukuta kikitokea huko kwao,utakuta mwarabu ana duka na pembeni yake mwafrika ana duka basi cha ajabu utakuta wa2 wote wanakwenda kununua duka la mwarabu na kumwacha wakwao!!muhindi hanunui duka lolote kama si la muhindi na mwarabu hivo hivo sasa mwafrika kunani??tuwaige basi hata wa2 wa mbeya ambao we kama si wa kwao hawanunui dukani kwako.

hawa watu ni washenzi sana wasingestahili kupata nyadhifa yeyote ile hapa nchini kwetu.
hata huko znzb waadimu washirazi na watumbatu ni vigumu kukuta ameoa mwarabu bali wao waarabu wanaruhusiwa kuoa waswahili tena wanafurahiwa sana.hii ni hata hapa bara mwafrika kuoa mwarabu ni ishu kubwa lakini mwarabu anaoa yeyote yule amtakaye!!! hawa wangerudi kwao au tuwatumikishe kama babu zao walivyowatumikisha babu zetu na kama wao wanavyotutumikisha sisi tukienda kwenye nchi zao.
Kumbe waarabu weupe kuna siku hawanunui kwa waarabu weusi na waafrika wa Mbeya hawanunui kwa duka ambalo si la Mnyakyusa mwenzao.Tatizo liko wapi?.Hapo itakuwa umekusudia kusema ubaguzi ni ugonjwa ambao kila pahala upo.
Hapo tena hueleweki.Ikiwa mwarabu anaoa wake wa kabila nyengine ambaye tuseme ni mweusi.Watakaozaliwa watakuwaje na hiyo hali itadumu kwa kipindi gani?.
Yawezekana wewe Grand Masterdulla unamnyemelea mtoto wa kiarabu na umekataliwa.Tatizo lako sio rangi bali dini yako.Mara nyengine ukiandika usiwe umevimbiwa kitimoto.
Kwa kifupi kuchochea fikra za kikabila na koo pamoja na ubaguzi wa rangi ni silaha kubwa iliyowapa ufalme mayahudi na wazungu dhidi ya watu wengine.Wao ndio wanaofanyia tafiti na kukuza uhasama baina ya watu.Ukoloni ulienea duniani kwa kutumia nyenzo ya ubaguzi na umerudi kwa kupandikiza fikra hizo kupitia akina Saint na Grand.
Mimi mwenyewe nawasikitikia waislamu wenzangu kuingizwa kwenye mtego huu kwani katika uislamu pekee ndiko ambako ubaguzi wa rangi umepigwa vita.
 
Waarabu weusi wanabaguliwa sana na waarabu weupe achilia mbali wewe muafrika, wewe muafrika ni issue nyingine kabisa, nchi za kiarabu sijui kwa nini zina ubaguzi sana kwa watu weusi .
Ukienda europe utabaguliwa sana lakini ubaguzi wake sio kama wa waarabu.
The safe place for african ni Afrika.
Tulilinde bara letu..... Kila sehemu muafrika anabaguliwa akienda except Africa tu

Ni vile hujachunguza tu. Hata hapa Afrika ubaguzi upo. Nenda hapo Sudan utaona jinsi watu weupe wanavyowanyanyasa weusi. Na si kuwanyanyasa tu, hata kuwaua.

Kiukweli Waarabu ni watu wa ajabu sana. Wanaamini kuwa wao ni bora kuliko kiumbe chochote cheusi.
 
Soma na hii:

Wewe jamaa ni very pathetic and ignorant. Hakuna aliyesema kuwa hayo hayakuwahi kutokea, ubaguzi ulikuwepo tena kwa kukusaidia hata Kanisani. Lakini wewe unazungumzia miaka mingapi iliyopita?

Bandiko uliloliweka la Marcus Garvey ni la miaa hiyo watu walipokuwa wanapiga vita ubaguzi wa rangi. Na wamefanikiwa ndio maana unaona leo Barack Obama ni Rais wa Taifa kubwa na lenye nguvu duniani. Niambie wapi kwenye nchi za kiarabu mtu mweusi anachaguliwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi baina ya waarabu..?

Acha ushabiki wa kijinga. Sijui upoje, kama umekurupuka toka porini ulikoenda miaka 140 iliyopita sasa ndio umerudi na mawazo ya ajabu ajabu
 
Ni vile hujachunguza tu. Hata hapa Afrika ubaguzi upo. Nenda hapo Sudan utaona jinsi watu weupe wanavyowanyanyasa weusi. Na si kuwanyanyasa tu, hata kuwaua.

Kiukweli Waarabu ni watu wa ajabu sana. Wanaamini kuwa wao ni bora kuliko kiumbe chochote cheusi.

..........Enyi mlio amini ! (yaani Waislaam), Wanaume wasiwadharau Wanaume wenzao, wala Wanawake wasiwadharau Wanawake wenzao. Huwenda hao (wanao dharauliwa mbele ya M'Mungu) wakawa bora kuliko wao. wala msivunjiane heshima, wala msiitane majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini (baada ya kuwa Muislaam). Na wasio tubu (dhambi/makosa yao), hao ndio wenye kudhulumu.
QUR'AN :Hujuraat:11.

..........Enyi watu (enyi binaadamu wote !) Hakika sisi tumekuumbeni kutokana na Mwanamke na Mwanaume. na tumekujalieni kuwa "Mataifa" na "Makabila" ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mcha Mungu zaidi kati yenu. Hakika Mwenyezi Munngu ni Mwenye kujua Mwenye habari.
QUR'AN: Hujuraat: 13.
Aya ya juu inazungumzia Waislaam, na ya chini ni kwa Binaadamu waote. Uislaam raha bana !
 
..........Enyi watu (enyi binaadamu wote !) Hakika sisi tumekuumbeni kutokana na Mwanamke na Mwanaume. na tumekujalieni kuwa "Mataifa" na "Makabila" ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mcha Mungu zaidi kati yenu. Hakika Mwenyezi Munngu ni Mwenye kujua Mwenye habari. QUR'AN: Hujuraat: 13.
Aya ya juu inazungumzia Waislaam, na ya chini ni kwa Binaadamu waote. Uislaam raha bana !

Just a minute buddy! Ukiongea na mimi usiwe na mapepe mapepe na kukurupuka. Raha ya aya inakuja ufafanuzi wake ukieleweka. Labda niulize tu, unaweza kuona tofauti ya maneno NIMEKUUMBENI vs TUMEKUUMBENI na NIMEKUJALIENI vs TUMEKUJALIENI?

Endapo utabaini tofauti, basi utakuwa na kila sababu ya kunieleza kwa imani yako, wewe uliumbwa na KINA NANI.

Mimi kwa imani yangu, niliumbwa na Mungu, ambaye ni mmoja. Na niliumbwa kwa udongo na kuzaliwa na mwanamke.

Tafadhali usikimbie, fafanua tu
 
Kwa sababu hao ni materorists alafu kuna mamtu yanajifanya yao yanaishi ustaarabu wa mwarabu yakifikili ndo maisha ya Mungu.MAJINI YANAHUSIKA HAPO.

Hivi materorist na MASHOGA, nani ZAIDI? Tehe! Tehe! Nauliza tu. Mashoga a.k.k.k.k.k.k.k.a Marafiki.
 
..........Enyi mlio amini ! (yaani Waislaam), Wanaume wasiwadharau Wanaume wenzao, wala Wanawake wasiwadharau Wanawake wenzao. Huwenda hao (wanao dharauliwa mbele ya M'Mungu) wakawa bora kuliko wao. wala msivunjiane heshima, wala msiitane majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini (baada ya kuwa Muislaam). Na wasio tubu (dhambi/makosa yao), hao ndio wenye kudhulumu.
QUR'AN :Hujuraat:11.

..........Enyi watu (enyi binaadamu wote !) Hakika sisi tumekuumbeni kutokana na Mwanamke na Mwanaume. na tumekujalieni kuwa "Mataifa" na "Makabila" ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mcha Mungu zaidi kati yenu. Hakika Mwenyezi Munngu ni Mwenye kujua Mwenye habari.
QUR'AN: Hujuraat: 13.
Aya ya juu inazungumzia Waislaam, na ya chini ni kwa Binaadamu waote. Uislaam raha bana !

Hiyo sisi tumewaumbeni imekaa aje?
 
Ukitaka kujua ubaguzi wa Wazungu ulivyombaya ebu waulize Samweli Eto'e na Mario Balotelli.

Wataliano walishawahi kumwambia Balotelli kuwa hakuna Mtaliano Mweusi kwenye hii dunia.

Kuhusu Waarabu weupe na Weusi labada nikukumbushe Saudia Arabia ndio nchi tajiri kwa waarabu lakini Waarabu Weusi, tofauti na Oman, Palestina, Lebanon.

Weka ushahidi Waarabu Weupe wamewabaguwa wapi Waarabu Weusi.
 
Nipe Nikupe umeamua kulala mbele?!

Kumbe ujanja wote huo hukuwa unajua kuwa allah ana binti zake watatu?
 
Last edited by a moderator:
huyo Amii atakuwa na matatizo ya kiakili hasa hasa saikolojiko problems,pamoja na kukataliwa kote huko hawakomi tu!!
wapemba kweli mna mambo.!!

nakupa mfano mmoja huko uarabuni,dubai,oman,qatar,yemen etc zamani walikuwa wanachukua wafanyakazi wandani kwa wingi toka East Africa lakini siku hizi wanachukua toka india,pakistan,malaysia,indonesia na fillipino ka sababu wanasema hata ikitokea bahati mbaya mzee mwenye nyumba au mtoto wake akampa mimba huyo house girl mtoto atakayezaliwa atakuwa sawa na wao lakini ukichukua mwafrika wanasema wanaichafua damu yao.
hawa wa2 mi nashangaa sijui tunawababaikia kwa nini sijui ni hiyo rangi au nywele zao?? sisi tunawapa nyadhifa kubwa kubwa hapa kwetu kitu huwezi kukuta kikitokea huko kwao,utakuta mwarabu ana duka na pembeni yake mwafrika ana duka basi cha ajabu utakuta wa2 wote wanakwenda kununua duka la mwarabu na kumwacha wakwao!!muhindi hanunui duka lolote kama si la muhindi na mwarabu hivo hivo sasa mwafrika kunani??tuwaige basi hata wa2 wa mbeya ambao we kama si wa kwao hawanunui dukani kwako.

hawa watu ni washenzi sana wasingestahili kupata nyadhifa yeyote ile hapa nchini kwetu.
hata huko znzb waadimu washirazi na watumbatu ni vigumu kukuta ameoa mwarabu bali wao waarabu wanaruhusiwa kuoa waswahili tena wanafurahiwa sana.hii ni hata hapa bara mwafrika kuoa mwarabu ni ishu kubwa lakini mwarabu anaoa yeyote yule amtakaye!!! hawa wangerudi kwao au tuwatumikishe kama babu zao walivyowatumikisha babu zetu na kama wao wanavyotutumikisha sisi tukienda kwenye nchi zao.

Wewe kweli utakuwa umevimbiwa kiti moto,unajua sababu ya nchi za kiarabu kutochukua wafanyakazi east africa tena?
1,Mabint wanaotoka east africa ni wavivu sana,
2,Wamekuwa hawajiheshimu kuanzia ndani mpaka nje,
3.Wengi waliokuwa wanawachukua toka east africa ni waswahili wenzao,sasa kulikuwa sana na muingiliano kati ya mfanyakazi na maboss maana wote wanatumia lugha 1,hii ilikuwa inaleta fitna sana,maana mfanyakazi anajua kila siri ya ndani ndio sababu wanawapenda wahindi,wafilipino,maana hawaelewi kitu,
4.Wahindi wao hawakuja kuuza sura warabuni wanapiga kazi sana,
Ukweli dada zetu wakiwa nje hawajiheshimu kbs nenda kumbi za ma disco uone walivyojiachia,na mpaka maboss wanaingia waswas kuja kuwaharibia mabinti wao,
Hivi sasa ethiopia ndio inaongoza kwa kuingiza wafanya kazi nchi za kiarab je na wao ni weupe?hawa wa ethiopia wakiwa nje ya nchi yao ni waoga sana,sio kama wakwetu wanajua kila kitu,na hawaogopi hata ugenini,
 
Kumbe waarabu weupe kuna siku hawanunui kwa waarabu weusi na waafrika wa Mbeya hawanunui kwa duka ambalo si la Mnyakyusa mwenzao.Tatizo liko wapi?.Hapo itakuwa umekusudia kusema ubaguzi ni ugonjwa ambao kila pahala upo.
Hapo tena hueleweki.Ikiwa mwarabu anaoa wake wa kabila nyengine ambaye tuseme ni mweusi.Watakaozaliwa watakuwaje na hiyo hali itadumu kwa kipindi gani?.
Yawezekana wewe Grand Masterdulla unamnyemelea mtoto wa kiarabu na umekataliwa.Tatizo lako sio rangi bali dini yako.Mara nyengine ukiandika usiwe umevimbiwa kitimoto.
Kwa kifupi kuchochea fikra za kikabila na koo pamoja na ubaguzi wa rangi ni silaha kubwa iliyowapa ufalme mayahudi na wazungu dhidi ya watu wengine.Wao ndio wanaofanyia tafiti na kukuza uhasama baina ya watu.Ukoloni ulienea duniani kwa kutumia nyenzo ya ubaguzi na umerudi kwa kupandikiza fikra hizo kupitia akina Saint na Grand.
Mimi mwenyewe nawasikitikia waislamu wenzangu kuingizwa kwenye mtego huu kwani katika uislamu pekee ndiko ambako ubaguzi wa rangi umepigwa vita.

Ubaguzi upo kila sehemu tena huku kwetu umezidi mfano mdogo mchaga wa rombo au kibosho akifunga ndoa na muhaya au mkurya kwao lazima watamsusa na kumdharau, hivyo hivyo kwa muhaya na mkurya.

Nenda Kariakoo kajionee bahati nzuri tuna mjengo pale, majengo mapya ya wakinga, wapangaji wote utakuta wakinga, majengo ya wachaga wapangaji wote utakuta wachaga tena wa sehemu moja anayotoka mwenye nyumba.
 
Ukitaka kujua ubaguzi wa Wazungu ulivyombaya ebu waulize Samweli Eto'e na Mario Balotelli.

Wataliano walishawahi kumwambia Balotelli kuwa hakuna Mtaliano Mweusi kwenye hii dunia.

Kuhusu Waarabu weupe na Weusi labada nikukumbushe Saudia Arabia ndio nchi tajiri kwa waarabu lakini Waarabu Weusi, tofauti na Oman, Palestina, Lebanon.

Weka ushahidi Waarabu Weupe wamewabaguwa wapi Waarabu Weusi.

Na ndio maana anayefanya kitendo kile anawajibishwa kwani dunia iliyostaarabika inapiga vita ubaguzi wa rangi. Kuonesha juhudi hizi zinazaa matunda, leo tunaona viongozi wa ngazi za juu katika nchi zenye binadamu wakishika madaraka huku hali ikiwa tofauti kwenye nchi za Kiarabu. Hebu fanya utabiri wako ni lini tutakuwa na Barack Obama wa Uarabuni?

Mfano wa ubaguzi ni hapa tu Sudan. Wanamgambo wa Kiarabu wa Kaskazini (Janjaweed) wakishirikiana na mwarabu mwenzao Al Bashir wamewaua wasudan weusi maelfu na kuwashika utumwa wengine. Yaani yale mambo ya Karne ya 17 kule ulaya leo waislamu wa Sudan wanafanyiana wenyewe
 
Ubaguzi upo kila sehemu tena huku kwetu umezidi mfano mdogo mchaga wa rombo au kibosho akifunga ndoa na muhaya au mkurya kwao lazima watamsusa na kumdharau, hivyo hivyo kwa muhaya na mkurya.

Nenda Kariakoo kajionee bahati nzuri tuna mjengo pale, majengo mapya ya wakinga, wapangaji wote utakuta wakinga, majengo ya wachaga wapangaji wote utakuta wachaga tena wa sehemu moja anayotoka mwenye nyumba.

Hivi kama mgogo hataki kufanya biashara inamlazimu mkinga kwenda kumlazimisha NJOO UPANGE HAPA UUZE NGUO? Kweli unataka kuniambia Mkinga ataacha kumpangisha Mngoni kwa 300 ili ampangishe Mkinga mwenzake kwa 200? Acha porojo, dada yangu (jirani) ni Mnyakyusa na anafanya biashara Kariakoo, kuna Wapemba, Wakinga, Wajaluo na hata Waluguru wanafanya nae biashara, hayo we yako na huyo mpemba.

Mifano yako ni ya kitoto sana. Mimi nioneshe jinsi Waarabu wanavyowakubali watu wengine kwenye jamii zao ndio nitaamini. Ulaya na America hata hapa Tanzania tumeona watu wanashika uongozi bila kujali matabaka yao. Lini mtu mweusi atakuwa kiongozi miongoni mwa jamii za Arabia?
 
Na ndio maana anayefanya kitendo kile anawajibishwa kwani dunia iliyostaarabika inapiga vita ubaguzi wa rangi. Kuonesha juhudi hizi zinazaa matunda, leo tunaona viongozi wa ngazi za juu katika nchi zenye binadamu wakishika madaraka huku hali ikiwa tofauti kwenye nchi za Kiarabu. Hebu fanya utabiri wako ni lini tutakuwa na Barack Obama wa Uarabuni?

Mfano wa ubaguzi ni hapa tu Sudan. Wanamgambo wa Kiarabu wa Kaskazini (Janjaweed) wakishirikiana na mwarabu mwenzao Al Bashir wamewaua wasudan weusi maelfu na kuwashika utumwa wengine. Yaani yale mambo ya Karne ya 17 kule ulaya leo waislamu wa Sudan wanafanyiana wenyewe

Twende taratibu ili wasomaji wapate faida, Bosnia Genocide waliuuwa Waislam zaidi ya 200,000 mwaka 1993-1995 yalifanywa na Waafrika au Waarabu?
 
Hivi kama mgogo hataki kufanya biashara inamlazimu mkinga kwenda kumlazimisha NJOO UPANGE HAPA UUZE NGUO? Kweli unataka kuniambia Mkinga ataacha kumpangisha Mngoni kwa 300 ili ampangishe Mkinga mwenzake kwa 200? Acha porojo, dada yangu (jirani) ni Mnyakyusa na anafanya biashara Kariakoo, kuna Wapemba, Wakinga, Wajaluo na hata Waluguru wanafanya nae biashara, hayo we yako na huyo mpemba.

Mifano yako ni ya kitoto sana. Mimi nioneshe jinsi Waarabu wanavyowakubali watu wengine kwenye jamii zao ndio nitaamini. Ulaya na America hata hapa Tanzania tumeona watu wanashika uongozi bila kujali matabaka yao. Lini mtu mweusi atakuwa kiongozi miongoni mwa jamii za Arabia?

Mkuu wewe niite utakavyo wala usidhani takasirika, mie Ritz, natoa elimu ya uraia.

Wanaenisoma wananielewa nimekutolea mfano kariakoo huo ubaguzi umeletwa na wageni, wenyeji wa kariakoo nyumba zao wamepangisha makabila mbalimbali bila ubaguzi mpaka leo.

Nimekuambia jengo la mkinga hawezi kumpangisha mchaga, na jengo la mchaga hawezi kumpangisha mkinga sababu za kiubaguzi.

Usiwe kama HINDI kila jino kukutafuna...twende taratibu watu watusome kwa faida.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huu ubaguzi siyo wa rangi tu, kuna baadhi ya makabila ndani ya Tanzania yanabaguwana.Mfano ukienda kwenye jamii ya wakurya,utakuta na wao wamegawanyika kuna wakira,watimbaru,wanyabhasi nk.Nilichoshangaa pamoja na uafrika wao lakini utakuta mkira anambagua mnyabhasi licha ya kuwa wote ni watanzania na wote ni weusi.Suala la ubaguzi naona lina mzizi wa "huyu hatutoki sehemu moja"

Mkuu wewe ni Great Thinker.
 
Wewe kweli utakuwa umevimbiwa kiti moto,unajua sababu ya nchi za kiarabu kutochukua wafanyakazi east africa tena?
1,Mabint wanaotoka east africa ni wavivu sana,
2,Wamekuwa hawajiheshimu kuanzia ndani mpaka nje,
3.Wengi waliokuwa wanawachukua toka east africa ni waswahili wenzao,sasa kulikuwa sana na muingiliano kati ya mfanyakazi na maboss maana wote wanatumia lugha 1,hii ilikuwa inaleta fitna sana,maana mfanyakazi anajua kila siri ya ndani ndio sababu wanawapenda wahindi,wafilipino,maana hawaelewi kitu,
4.Wahindi wao hawakuja kuuza sura warabuni wanapiga kazi sana,
Ukweli dada zetu wakiwa nje hawajiheshimu kbs nenda kumbi za ma disco uone walivyojiachia,na mpaka maboss wanaingia waswas kuja kuwaharibia mabinti wao,
Hivi sasa ethiopia ndio inaongoza kwa kuingiza wafanya kazi nchi za kiarab je na wao ni weupe?hawa wa ethiopia wakiwa nje ya nchi yao ni waoga sana,sio kama wakwetu wanajua kila kitu,na hawaogopi hata ugenini,

wewe utakuwa unataka kujipendekeza kwa waarabu,hawachukui mabinti wetu sababu hawataki kuchafua damu yao na hii niliipata toka kwa mwarabu aliyeishi huko uarabuni hao waithiopia hawana wasiwasi nao mana wapo kama wao tu kasoro ni nchi yao ipo africa na imepakana na nchi za watu weusi. Hata hao waethiopia wenyewe hajiconside kama wao ni waafrika bali ni waasia mi nimekaa nao hao waethiopia kenya na uganda nao wapo kama waarabu ni wabaguzi balaa,muithiopia mwanamke na mueritrea na msomali haruhusiwi hata siku moja kuhusiana kimapenzi na waafrika weusi!!
cha kushangaza ni kwamba wao ndio nambari moja kwenda kuwawinda dada zetu lakini ukiwagusa wao ugomvi wanaitishana vikao kabisa kukujadili na kumkataza mwanamke wao kuhusiana na sisi.

sio kweli kwamba dada zetu hawajieshimu nadhani unashindwa kutofautisha kati ya wanaokwenda kama mahouse gal na wale wenye hela zao waliokwenda tu kuangalia upepo huko unakwendaje.hao waliokwenda kwa hela zao kuangalia upepo ndia wale wako huru wanakwenda kujirusha kwenye madisko lakini siyo wale maHG.
wahindi na wafilipino si kweli kwamba hawajui kiarabu wanakijua mana lugha zao ni rahisi kukijua kuliko lugha za kibantu na hata wakikaa mwaka mmoja tu si washaelewa kiarabu tatizo wao wanaona wale ni wenzao tu kama wao wanatofautishwa na lugha na mila tu na wakizaa nao watoto watakuwa ni kama waarabu tu hamna dosari,tofauti akizaa na mwafrika mtoto anakuwa mwafrika ndio hawataki kuchanganya damu yao na kupoteza ile hasili yao.
hawa waarabu wa kwetu inabidi tuwatenge na sisi mbona kwao wanatutenga kwani sisi hatuumii moyoni,mbaya zaidi wanajiamini ndani ya ardhi yetu kiasi cha kuleta ubaguzi mbele yetu binti zao wanaozana wenyewe kwa wenyewe lakini wao wanaoa wetu!! huku nikuonewa kuliko pitiliza hata kama mabwege this is too much tuwarudishe kwao au tuwatumikishe na sisi.
 
Na ndio maana anayefanya kitendo kile anawajibishwa kwani dunia iliyostaarabika inapiga vita ubaguzi wa rangi. Kuonesha juhudi hizi zinazaa matunda, leo tunaona viongozi wa ngazi za juu katika nchi zenye binadamu wakishika madaraka huku hali ikiwa tofauti kwenye nchi za Kiarabu. Hebu fanya utabiri wako ni lini tutakuwa na Barack Obama wa Uarabuni?

Mfano wa ubaguzi ni hapa tu Sudan. Wanamgambo wa Kiarabu wa Kaskazini (Janjaweed) wakishirikiana na mwarabu mwenzao Al Bashir wamewaua wasudan weusi maelfu na kuwashika utumwa wengine. Yaani yale mambo ya Karne ya 17 kule ulaya leo waislamu wa Sudan wanafanyiana wenyewe

Nakuunga mkono mkuu. Hakuna hata siku moja nchi ya Kiaarabu au OIC au hata misikiti yetu hapa TZ ikalaamu vitendo ambavyo mwarabu Al Bashiri na Janjaweed wanavyo waua wa Darfur ambao nao ni Waislamu vile vile. . Sasa kwa nini wawabague wale wa Darfur na kuwasapoti wa wapalestina??? Isitoshe kwa nini basi sisi waislamu wa Afrika au Tanzania tusiingie mtaani kulaumu kitendo ambacho waarabu waafrika wa Darfur wanavyodhulumiwa???? Sasa hivi ukiangalia nchi nyingi za Kiarabu zinailaumu Israel kwa kuwaua Wapalestina Mbaya zaidi hao Wapalestina(Hamasi) ndio walioanzisha hizo fujo za kurusha makombora kwenda Israel,
 
akili za kigalatia bana !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom