Recent content by Anold Aniceth

  1. Anold Aniceth

    Natafuta camera nikon au canon yenye uwezo wa kurecord video

    Hii na mie naweza ipata kwa sh ngap na mie naihitaji!...
  2. Anold Aniceth

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Hiyo private itakayonipa job la miezi miwili ipo wapii aisee niwatafute!....... Maana si rahisi kuipata,...wote wanahitaji mkataba wa zaid ya hapo nishajaribu shule nyingi sana na hakuna hata mmoja alokubali kwa muda mfupi namna hii!..... Na kama hakuna atayekubali kuajir mwalimu kwa miezi...
  3. Anold Aniceth

    Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

    Huo uhakika wa ajira serikalin umesema wewe!...... Tuulize sie tunaousubiria mwaka na½ sasaa na hakuna hata dalili........ Ni lazima walimu warudishiwe HESHIMA yao kama zamani kwa kutengenezewa mazingira mazuri ya kazi na marupurupu..... Kazi gani isokuwa na posho bana!.... Now Askari...
  4. Anold Aniceth

    Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

    Na bado kuna shule vijijini zina walimu wa5 tuuu wanafundisha vipindi 20 kwa wiki......... Kweli life halipo FAIR..... [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
  5. Anold Aniceth

    Ajira za walimu zitatoka lini?

    Kama ambavyo huwezi kufanyia kazi fani ambayo hujaisomea ndo vivohivo ilivyo ngumu kwa mwalimu wa sekondari kufundisha primary...... Kila kitu kina utaratibu wake so haitoweza kutokea labda viongozi wawe hawajui taratibu(protocol) za ualimu..... Na kama ikihitajika ni lazima warudi shule...
  6. Anold Aniceth

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Una uhakika Mkuu!?...... maana siku hizi kila MTU anazungumza yake!......
  7. Anold Aniceth

    Ajira za walimu zitatoka lini?

    Duuuu!..... Hivi umefikiria vizur kabla ya kuandika Mkuu!!?......... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  8. Anold Aniceth

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Hata hizo mboga za majani unazosema zinahitaji mtaji na muda wa uhakikaa!... Na mfano ukipanda mboga hizo na Ajira zikatoka kabla mazao hayajakomaa hiyo hasara atafidia nani!?.... Hatakama hawatatoa Leo!... Wangametoa muda specifically tungefanya miradi mbalimbalij... Maana kila Mara TAMISEMI...
  9. Anold Aniceth

    Hili la kwenda shule na condom na ndizi liko sahihi wanajamvi?

    Tunapozungumzia dhana shirikishi tunazungumzia mbinu za ufundishaji ambazo zitamshirikisha mwf katika kila hatua ya ujifunzaji na pia kunfikirisha mwf KIYAKINIFU...kuna vitu ambavyo mwalimu wanaweza andaa kwa kumshirikisha mwf ili kumuongezea ubunifu na kufikiri zaidi japokuwa kumuagiza...
  10. Anold Aniceth

    Tupa kule Rwanda,tupa kule Somalia,mtoto mkali wa Bariadi, Shinyanga

    Hivi Fetty ni wa bariadi ama kishapu!?.... Hebu tusaidiane katika hilii!......
  11. Anold Aniceth

    Sasa nimeamini ajira za walimu mwaka huu ni kitendawili

    Hawatutendei haki kwa kweli!..... Ilaaa haiba ndo tunayoitetea tofauti na hapo na sie tungeanzisha chama cha walimu tarajali aisee maana hali ni mbaya!... (Just jocking) [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
  12. Anold Aniceth

    Hili la kwenda shule na condom na ndizi liko sahihi wanajamvi?

    Mada juu ya uzazi katika mtaala huu wa sasa inaanzia darasa la NNE(japo kwa utangulizi na sehemu za uzazi za wanyama na mimea)..... Kwa kweli kimaadili haipo sawa lakini ina faida kubwa kwa wanafunzi maana dunia ya Leo ni majanga kabisa!.... Na kuhusu suala la.mwalimu kuwaagiza wanafunzi ndizi...
  13. Anold Aniceth

    Mwenye kujua ajira za walimu zitatoka lini anifahamishe plz

    Tusubiri kidogo tusilalamike sanaaa maana MEI haijaisha bado!... Kuanzia 27 hadi 31 tusubiri tuone maana waliahidi na RAIS wetu atani disappoint kama huu(kauli ya ajira mei) utakuwa uongo.....
  14. Anold Aniceth

    Madaktari wa Tanzania waweka rekodi mpya Afrika na dunia kwa ujumla

    Usithubutu kuwa-TUSI walimu wa kitanzania kwenye hilii sualaa!.. (Uzi unawazungumzia madaktari)sasa walimu wanahusikaje hapo!?..... Mie nimefanya kazi na baadhi ya walimu kutoka Kenya na Uganda (hao unaowaita walimu bora).. Lakini hakuna la zaidi nililoliona!. Zaidi ya kujikweza na kizungu...
  15. Anold Aniceth

    Je, Kwa hili mliooa na kuolewa linakubalika?

    Unawezaa mpataa ukimtafutaA(kwa uweza wa MUNGU)!... Labda kama ushampata na yupo 'vaisivesa'.......
Back
Top Bottom