Madaktari wa Tanzania waweka rekodi mpya Afrika na dunia kwa ujumla

rais wako

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
605
513
Katika hali inayotia hamasa katika elimu ya Tanzania wakati wakenya wakiendelea kubeza elimu ya Tanzania ,watanzania wajivunia elimu yao na kufanya maajabu

Madaktari Tanzania wafanya upasuaji wa kihistoria

Saa 4 zilizopita

Mshirikishe mwenzako

ImageMadaktari wamewafanyia upasuaji wagonjwa wawili

Madaktari wa Tanzania katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, wakishirikiana na wenzao wa India wamefanikiwa kufanya upasuaji wa moyo wa aina yake Tanzania.

Upasuaji huo ujulikanao kama ‘bypass surgery’ ulishirikisha kupandikizwa kwa mishipa ya damu kutoka sehemu nyingine ya mwili moyoni bila kutumia mashine ya kusimamisha moyo na mapafu.

Kwa kawaida madaktari wanasema upasuaji wa moyo hufanyika baada ya moyo na mapafu kusimama, lakini upasuaji huo ulifanyika wakati moyo na mapafu vikifanya kazi.

Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa Bashir Nyangasa ameambia BBC kuwa upasuaji huo wa kupandikiza mishipa ya damu nje ya mshine ni wa kihistoria nchini Tanzania.

“Mgonjwa anaweza kutolewa mishipa ya damu kutoka miguuni au mikononi baada ya kupewa dawa ya usingizi na mishipa hiyo kupandikizwa kwenye mshipa wa moyo uliokuwa umeziba ili kuruhusu mzunguko wa damu wa moyo kama kawaida bila kutumia mashine,” amesema.

Upasuaji huo wa moyo kwa njia ya kupandikiza umefanyika kwa watu wawili, ambao umeonesha mafanikio makubwa kwa kuwa hali zao zinaendelea vizuri .

Dkt Nyangasa amesema kwa sasa hakuna haja ya Watanzania wenye matatizo ya moyo kwenda nje ya nchi kwa kuwa wao kama wataalam wameweza kufanya upasuaji huo.

Anasema madaktari sasa wanaweza kuhudumia wagonjwa wengi zaidi wenye uhitaji na kupunguza gharama kwa serikali ya kusafirisha wagonjwa wa moyo nje ya nchi.

Mwandishi wa BBC aliyepo Dar es Salaam Esther Namuhisa anasema wengi wa wagonjwa wamekuwa wakisafiri hadi India ambapo wengi hukumbana na changamoto nyingi kupata huduma hiyo kifedha na hata kwenye upande wa lugha.

Source BBC SWAHILI
1464204918760.jpg
1464204928924.jpg
 
Sasa wewe ulieleta Uzi wa na kusema elimu ya kitanzania ndio tatizo basis wewe ndio tatizo haya sasa hayo ndo maajabu yanayopatikana Tanzania
 
Katika hali inayotia hamasa katika elimu ya Tanzania wakati wakenya wakiendelea kubeza elimu ya Tanzania ,watanzania wajivunia elimu yao na kufanya maajabu

Madaktari Tanzania wafanya upasuaji wa kihistoria

Saa 4 zilizopita

Mshirikishe mwenzako

ImageMadaktari wamewafanyia upasuaji wagonjwa wawili

Madaktari wa Tanzania katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, wakishirikiana na wenzao wa India wamefanikiwa kufanya upasuaji wa moyo wa aina yake Tanzania.

Upasuaji huo ujulikanao kama ‘bypass surgery’ ulishirikisha kupandikizwa kwa mishipa ya damu kutoka sehemu nyingine ya mwili moyoni bila kutumia mashine ya kusimamisha moyo na mapafu.

Kwa kawaida madaktari wanasema upasuaji wa moyo hufanyika baada ya moyo na mapafu kusimama, lakini upasuaji huo ulifanyika wakati moyo na mapafu vikifanya kazi.

Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa Bashir Nyangasa ameambia BBC kuwa upasuaji huo wa kupandikiza mishipa ya damu nje ya mshine ni wa kihistoria nchini Tanzania.

“Mgonjwa anaweza kutolewa mishipa ya damu kutoka miguuni au mikononi baada ya kupewa dawa ya usingizi na mishipa hiyo kupandikizwa kwenye mshipa wa moyo uliokuwa umeziba ili kuruhusu mzunguko wa damu wa moyo kama kawaida bila kutumia mashine,” amesema.

Upasuaji huo wa moyo kwa njia ya kupandikiza umefanyika kwa watu wawili, ambao umeonesha mafanikio makubwa kwa kuwa hali zao zinaendelea vizuri .

Dkt Nyangasa amesema kwa sasa hakuna haja ya Watanzania wenye matatizo ya moyo kwenda nje ya nchi kwa kuwa wao kama wataalam wameweza kufanya upasuaji huo.

Anasema madaktari sasa wanaweza kuhudumia wagonjwa wengi zaidi wenye uhitaji na kupunguza gharama kwa serikali ya kusafirisha wagonjwa wa moyo nje ya nchi.

Mwandishi wa BBC aliyepo Dar es Salaam Esther Namuhisa anasema wengi wa wagonjwa wamekuwa wakisafiri hadi India ambapo wengi hukumbana na changamoto nyingi kupata huduma hiyo kifedha na hata kwenye upande wa lugha.

Source BBC SWAHILIView attachment 350990View attachment 350991
 
Kumbe hawakuwa peke yao walikuwa pamoja na madaktari wa India.
 
Sasa mbona unaleta uzi huku ukijishuku na kuogopa ogopa Wakenya. Kwa taarifa yako tatizo kwenu ni nyie wenyewe, wala Wakenya hawahusiki. Elimu yenu ni duni kwa nyie watu wa kawaida, maana wenye hela zao hupeleka watoto wao kwa shule zenu za kimataifa zenye walimu Wakenya na Waganda.

Halafu hili la madaktari wenu kufanya vyema nalipatia hongera, lakini kumbuka Watanzania wenye hela na wanasiasa hawawezi kuwaamini hao madaktari na ndio kila akipata mafua anakimbilia Ulaya. Magonjwa kama tezi dume yakutibiwa hapo Muhimbili, lakini mkulu kaona vyema asiwaamini Waswahili wake.

Hivyo mjiangalie wenyewe na kutathimini, manweza kwenda mbali lakini huwa hamjiamini wala kuaminiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Usithubutu kuwa-TUSI walimu wa kitanzania kwenye hilii sualaa!..
(Uzi unawazungumzia madaktari)sasa walimu wanahusikaje hapo!?.....

Mie nimefanya kazi na baadhi ya walimu kutoka Kenya na Uganda (hao unaowaita walimu bora)..
Lakini hakuna la zaidi nililoliona!.
Zaidi ya kujikweza na kizungu kireefu!...
Walimu na wasomi wengi wa TANZANIA wapo vizuri sanaaa!(wenye weledi uliotukuka)...
Kinachodunisha maendeleo ya elimu (shule za serikali) ni kuwepo kwa miundombinu chakavu na isiyowasaidia wanafunzi kufikia malengo 100% but pamoja na hayo watu wanatusua!....

SOMETIMES TUWE TUNAZUNGUMZA YALE TULIYO NA UHAKIKA NAYO.
 
Sasa mbona unaleta uzi huku ukijishuku na kuogopa ogopa Wakenya. Kwa taarifa yako tatizo kwenu ni nyie wenyewe, wala Wakenya hawahusiki. Elimu yenu ni duni kwa nyie watu wa kawaida, maana wenye hela zao hupeleka watoto wao kwa shule zenu za kimataifa zenye walimu Wakenya na Waganda.

Halafu hili la madaktari wenu kufanya vyema nalipatia hongera, lakini kumbuka Watanzania wenye hela na wanasiasa hawawezi kuwaamini hao madaktari na ndio kila akipata mafua anakimbilia Ulaya. Magonjwa kama tezi dume yakutibiwa hapo Muhimbili, lakini mkulu kaona vyema asiwaamini Waswahili wake.

Hivyo mjiangalie wenyewe na kutathimini, manweza kwenda mbali lakini huwa hamjiamini wala kuaminiana wenyewe kwa wenyewe.
Wewe jamaa inaonekana una kichwa kikubwa sana, na ni mkurupukaji sana, na hutumia nguvu sana kufanya mabishano,
BTW,
Head to head mkenya huwezi mshinda mbongo kwa lolote academically..
Mfano wengi wetu humu wala hatuzijui hizo unaita shule bora, mimi nimetokea kijijini, familia ya kawaida tu..
Nimesoma shule ya msingi kijijini, nimesoma secondary za Umma, japo ni secondary mashuhuri Tz na nimetusua fresh kabisa.
Huwa sioni tofauti ya Hao waliosoma hizo shule za ambazo wewe unahisi ni bora..
Trust me, hao walimu wa Uganda wanaongea lugha ya wazungu tu but technical skills hamna kitu..hata walimu wa Kenya wanaoajiriwa hapa huwa ni kufundisha English tu,.maana nyie mnafaham sana Lugha hii ya wazungu, japo sio sifa.
Wakati nasoma chuo nimejitolea kufundisha science katika shule mbili za namna hii,
nakubali elimu yetu ina changamoto nyingi za kuzifanyia kazi,
But you guys claims mmeelimika, and tunaona mnaviwanda hivyo vya vyakula na vipodozi ila vyote wanamiliki wachina na wahindi,
Na hata miundombinu yenu yote inajengwa na wachina na mabwana zenu wazungu ihali mnao engineers wanagraduate kila mwaka..
Hamuwezi hata kujitosheleza kwa chakula,
Elimu gani unaizungumzia we jamaa?
..
Remember, Kenya is the most uncivilized society in Africa that's why hamuishi vioja,
Mara mnaabudu watu na kuwatolea sadaka,
Mnajiuza kwa wazungu, yaani mwanaume msomi wa Kenya anahonga penzi (Tigo) kwa processor mzungu, anafumuliwa marinda,
Mara wanaume wa Kenya mnafanya mapenzi na Kuku, na wengine na punda, na wengine na mbuzi, na Ng'ombe,
..sometimes I do wonder, if you guys can exist as a country, really, its just like a miracle.
 
Hilo la head to head halina umuhimu maana tumedhihirisha kuwazidi kwa kila kitu, hata kwenye literacy rate mpo nyuma yetu, mpo nyuma yetu kiteknolojia na kila aina ya takwimu. Hata nyuma yetu kwenye Human Development Index (HDI), kiuchumi, kielimu, miundo mbinu, uongozi na demokrasia... yaani kila kitu.

Halafu hayo mambo ya kijamii kama ushoga, ni mambo yapo kila nchi, nimesoma taarifa nyingi tu za jinsi lipo kwenu pia. Matatizo ya jamii ni jambo la kawaida. Japo nyie mna tatizo moja ambalo mnaongoza duniani, lile la kutafuna minofu ya albino. Hilo mnaongoza pakubwa.
 
Indian doctors featuring tanzanian doctors should be the heading.
Soma vizuri utagundua in charge wa hiyo operation alikua mbongo na mhindi alikua assistant tuu
Any way no matter what. Historia imeandikwa ni madaktari wa bongo na juzi juzi tuu walienda Rwanda kwaa ajiri ya kufanya upasuaji kwenye hospitali ya taifa rwanda
 
Halafu mna upasuaji wowote wa kihistoria nje ya hospitali ya Dar. Kwa mfano daktari wetu kule Mombasa wamefanya heart open surgery. Yaani ya kwanza nje ya Nairobi, maana Nairobi tumezoea kila aina ya upasuaji.

Soma zaidi Kenya: Historic surgery signals Coast General Hospital’s progress
 
Mtoa mada anaandika bila kujiamini anawapa mdomo wakenya.Nimewahi fanya kazi na wakenya,kingereza kiingi kwingine hamna kitu mfano mzuri cheki tu weledi wa wabongo waliosoma kenya kichwani hakuna cha ziada kama wakenya zaidi ya kizungu
 
Soma vizuri utagundua in charge wa hiyo operation alikua mbongo na mhindi alikua assistant tuu
Any way no matter what. Historia imeandikwa ni madaktari wa bongo na juzi juzi tuu walienda Rwanda kwaa ajiri ya kufanya upasuaji kwenye hospitali ya taifa rwanda
Tanzanian doctors feat Indian doctors........congratulations.
 
Hilo la head to head halina umuhimu maana tumedhihirisha kuwazidi kwa kila kitu, hata kwenye literacy rate mpo nyuma yetu, mpo nyuma yetu kiteknolojia na kila aina ya takwimu. Hata nyuma yetu kwenye Human Development Index (HDI), kiuchumi, kielimu, miundo mbinu, uongozi na demokrasia... yaani kila kitu.

Halafu hayo mambo ya kijamii kama ushoga, ni mambo yapo kila nchi, nimesoma taarifa nyingi tu za jinsi lipo kwenu pia. Matatizo ya jamii ni jambo la kawaida. Japo nyie mna tatizo moja ambalo mnaongoza duniani, lile la kutafuna minofu ya albino. Hilo mnaongoza pakubwa.
umesahau tu kuwa hamtuzidi kwa kila kitu, mi nakukumbusha moja tu kwamba sisi tunawazidi kwa kiwango kikubwakufanya maamuzi mhimu kwa haraka bila ajizi mfano ni lile suala la bomba la mafuta kutoka Uganda kuja tanga badala ya Mombasa.
 
Sasa mbona unaleta uzi huku ukijishuku na kuogopa ogopa Wakenya. Kwa taarifa yako tatizo kwenu ni nyie wenyewe, wala Wakenya hawahusiki. Elimu yenu ni duni kwa nyie watu wa kawaida, maana wenye hela zao hupeleka watoto wao kwa shule zenu za kimataifa zenye walimu Wakenya na Waganda.

Halafu hili la madaktari wenu kufanya vyema nalipatia hongera, lakini kumbuka Watanzania wenye hela na wanasiasa hawawezi kuwaamini hao madaktari na ndio kila akipata mafua anakimbilia Ulaya. Magonjwa kama tezi dume yakutibiwa hapo Muhimbili, lakini mkulu kaona vyema asiwaamini Waswahili wake.

Hivyo mjiangalie wenyewe na kutathimini, manweza kwenda mbali lakini huwa hamjiamini wala kuaminiana wenyewe kwa wenyewe.
Pambaffuuuuu...... weye bichwa kubwa, katika fani ya Utabibu Tanzania ina heshima yake, kuanzia kwenye ufundishaji.
 
Back
Top Bottom