Recent content by Annina

  1. Annina

    Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    Nimepata taarifa kwamba kaka Deo wa million hairs -mmoja wa waliokuwa wakijibu maswali kwa niaba ya million hairs amefariki juzi ijumaa. Msiba upo nyumbani kwake kwenye kota za BoT Mbezi beach, mazishi kesho jumatatu. RIP Deo
  2. Annina

    Moving on after heartbreak

    Shukuru Mungu umefahamu tabia zake kabla ya ndoa... imagine hayo yanatokea upo kwa ndoa na watoto! You deserve better
  3. Annina

    Mtaalam wa landscaping

    Nipo Dar Mkuu, una links tuzungumze? Shukran Annina
  4. Annina

    Mtaalam wa landscaping

    Zanzibar Spice, asante sana kwa ushauri, nitawatafuta vijana, tena wapo likizo sasa itakuwa pouwa! Shukran, Annina
  5. Annina

    Mtaalam wa landscaping

    Salaam wapendwa, Natafuta mtaalam mwelekezi wa landscaping Shukran Annina
  6. Annina

    Wako wapi hawa wadau?

    Nyani Ngabu, Nipo Mkuu majukumu tu yanabana, huwa napita pita kiaina. Nashukuru kwa kunikumbuka. Annina
  7. Annina

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    a.rahabu, Tushirikishe basi na sisi, unaandaaje, unachanganya na nini na anapewa mara ngapi. Shukran, Annina
  8. Annina

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    FL Kama ndio anaanza, mpatie mara 2. Angalizo: jaribu kumpa chakula cha aina moja kwa angalau 3 -7 days ili uone kama kina reaction yeyote. Tuendelee kubadilishana mawazo. Annina
  9. Annina

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    Mdau35 Kama huna microwave chemsha maji kisha itumbukize kwenye maji kwa few minutes -lengo ni kuilainisha vizuri sio kuipika! Kama huna strainer iponde kwa kijiko, mwiko etc cha muhimu ilainike kabisa kumbuka ndio anaanza, tumbo lake halitamudu particles anaweza kupata shida ya...
  10. Annina

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    FL Procedure ni rahisi, chakula hiki hakipikwi. Chagua avocado na ndizi zilizoiva vizuri, safisha kwa umakini maana havipikwi so hakikisha hakuna uchafu kabisa. Weka ndizi (ripe banana) yako bila kumenya kwenye microwave kwa sec 50 hadi dk 1 ili ilainike vizuri - ndizi huwa ngumu kidogo. Kisha...
  11. Annina

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    Ndizi mbivu - banana, unaweka kwa microwave kwa dk 1 kuifanya ilainike vizuri, then unaiponda ponda au pitisha kwa strainer. Kisha ongeza maziwa kama nilivyoelekeza awali. Annina
  12. Annina

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    FL Kama ndio anaanza solids ni bora ukaanza na kitu kimoja kimoja kama wengine walivyoshauri. Kwa kuanzia jaribu puree ya avocado na banana unaiponda ponda unachanganya na maziwa (breast milk au formula anayotumia) ni nzuri and very nutritious. Wa kwangu ana miezi 6 anaipenda sana. You can...
Back
Top Bottom