Kikwete na Kinana Wafyata Mkia Kwa Lowassa

Chechetuka

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
549
Reaction score
44
Hivi karibuni Chama Cha Mapinduzi kilifanya mchakato wa kuwahoji baadhi ya wanachama wake ambao ama wamekuwa wakisemwa semwa kuwa na nia ya kugombea Urais mwaka 2015 au wale ambao wamekuwa wakifanya kampeni za wazi za kiny'ang'anyiro hicho kupitia CCM.

Wakati kampeni hizo zinafanyika kwa wale waliokuwa wanazifanya, bado Serikali ilikuwa haijatoa ruhusa kwa vyama vya siasa kuanza kufanya kampeni, na hata vyama vyenyewe bado havijawaruhusu wana Chama wake kuanza kufanya kampeni.

Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwakani, mwezi wa kumi, kama hakutakuwa na mabadiriko kama yaliyotokea ktk uchaguzi Mkuu ulipoita ambapo Chama kimoja kilipoteza mgombea mwenza kabla kampeni hazijasitishwa.

Madhara ya kufanya uchaguzi mapema kabla ya wakati uliowekwa na kukubalika na vyama vyote vya siasa nchini ni kwenda kinyume na sheria zake. Lakini pia, si busara kuanza kampeni mapema wakati Rais aliyopo madarakani bado hajamaliza muda wake. Madhara ya kuruhusu kampeni kabla ya muda wake ni kuhatarisha usalama au nchi.

Watanzania wameshuhudia baadhi ya viongozi kutoka CCM ambao wamehojiwa wakishiriki katika harambee mbali mbali za kuchangisha fedha kwa ajili ya maendeleo ya taasisi husika. Tumeona harambee nyingi zikifanyika Misikitini, Makanisani, Vyuoni, Vikundi vya wajasirimali kama vile, Bodaboda, vikundi vya akina mama, na kadhalika.

Kama hilo halitoshi, wengine wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha nguo za aina mbali mbali, kutunga nyimbo, zikiwanadi kuwa wao ndio wanaofaa kuwa viongozi wakuu wa nchi hii baada ya Jakaya Kikwete.

Tayari mpaka sasa ni kiongozi mmoja tu aliyetangaza kuanza rasmi safari hii. Huyu si mwingine, bali ni Mhe. Edward Ngoyai Lowassa. Alitngaza nia hiyo tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka 2014 alipofanya sherehe kubwa Wilayani Monduli na kualika watu kutoka kada mbali mbali ndani na nje ya nchi. Mhe. Lowassa alisema

"KILA BINADAMU ANA MALENGO KATIKA MAISHA YAKE. MUNAJUA MALENGO YANGU, MNAJUA NDOTO ZANGU. KUNIUNGA MKONO SIKU YA KWANZA NINAPOANZA SAFARI NI JAMBO KUBWA NA LA HESHIMA SANA...ASANTENI SANA.

MUMENITIA MATUMAINI KATIKA SAFARI TUNAYOIANZA LEO. SAFARI ILIYOJAA MINA NA MAWE, ILIYOJAA MABONDE, ILIYOJAA MAKORONGO, LAKINI KWA JINA LA YESU NINA HAKIKA TUTAVUKA...

NAPENDA MSTARI KATIKA BIBLIA UNAOSEMA SIMAMA NA UHESABIWE, NAOMBA RAFIKI ZANGU MUSIMAME NA MUHESABIWE MUSIOGOPE WALA MUSIONE HAYA. KUNA WAZANDIKI WALIANDIKA KTK BLOG MOJA KUWA "WOTE MONDULI MUNAENDA KUFANYA NINI? HAKUNA NG'OMBE WA KUTOSHA" WAAMBIENI KUWA HAMKUJA KULA NYAMA, MUMEKUJA KUNIUNGA MKONO. NARUDIA TENA, KWA HIYO NAWASHUKURU, TUANZE SAFARI HII, TUIANZE KWA PAMOJA TUKIJUA UHAKIKA WA USHINDI KWA KUWA BWANA YESU NDIO KIONGOZI WETU NA MIMI NAWAAMBIA KWA MSAADA WA MUNGU TUTASHINDA" Hayo yalikuwa maneno ya Mhe. Edward Ngoyai Lowassa.

Mpaka sasa hivi HAKUNA kiongozi yeyote kati ya wale wote waliohojiwa aliyetamka kuwa anataka kugombea, au kuanza safari, isipokuwa mbabe huyu (Mhe. Edward Ngoyai Lowassa) pekee ndio aliyeweza kufanya jeuri hii.

Katika kanuni ya Chama Cha Mapinduzi kuna adhabu mbali mbali ambazo hutolewa kwa wale wanafanya makosa. Makosa aliyoyafanya Mhe. EDWARD NGOYAI LOWASSA hayalingani na makosa waliyoyafanya wenzie. Hapa sioni kama nina haja ya kutoa mlolongo mrefu wa harambee na mambo mengine aliyoyafanya, ambayo yanayokiuka KANUNI za Chama Cha Mapinduzi.

Kamati ndogo ya maadili ilipitia makosa ya kila aliyehojiwa na kupendekeza adhabu kwa kila mmoja. KILICHOWASHANGAZA WATU WENGI NI PALE ADHABU SAWA ILIPOTOLEWA KWA WOTE.

Kilichotufikia toka ktk vyanzo vya kuaminika ni kuwa, Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Kinana na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Jakaya Kikwete, WALIZIDIWA NGUVU na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wanaomuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa, walioongozwa na Sophia Simba. (Majina ya wajumbe wengine tunayahifadhi kwa sasa).

Mittani watu wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kutokana na aina hii ya ADHABU. Nakishauri Chama Cha Mapinduzi kutoa ufafanuzi utakaoeleweka kuhusu ADHABU hii kabla mambo hayajaharibika.

........KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI........
 
Hata fisadi EL huwezi kumuhukumu kwani nae aliongea kimafumbo kama Yesu alivyokuwa akifikisha ujumbe kwa watu wake kwa njia ya mafumbo.
 
Walichofanya: Wote waliohojiwa hawatashiriki kwenye kugombea ili kuteuliwa kama mgombea kwenye urais wa 2015. Lengo ni ili SITTA, MIGIRO na MWANDOSYA wagombee kwenye kinyang'anyiro kwenye chama. Rais atakayepita kati ya hao ni LAZIMA AMTEUE BENARD MEMBE kuwa Waziri Mkuu (Ameji-sacrify ili kumuondoa Lowassa). Huo ndio mkakati wa CCM. Hebu jiulize ni kwa nini Membe pamoja na kuitwa alishauri Mgombea wa CCM apatikane mwaka huu ili hali adhabu zao zinaisha mwakani February? Kweli wamemuogopa Lowassa na manguvu yake, wamefanya hivyo ili ikitokea akajitoa kwenye chama wamshushue mbona wenzake wamezuiliwa na HAWAJATOKA? In short najua hawamuwezi;
 
mbona samweli aliwahi kutoa michango na kutaja marafiki zake kina mwakyembe na tena magufuli akamkana mbona hakuhojiwa na wala hamshadadii ahojiwe nyote na ubinadamu wenu hamuoni.nasema ubinadamu kwa kuwa mna tunu zaidi ya wanyama kwani wao hawana tunu kama binadamu.kama kweli mnaoshadadia lowasa ndo mkosaji pekee basi hamna tofauti na nyoka au mijusi kafiri.
 
Magamba wakijaribu kumugusa Lowasa magamba yote yatapukutika.Lowasa ni zaidi ya magamba magamba yote yamewekwa mfukoni na Lowasa.
 
Edo anajua anacho kifanya,Huwezi kumfundisha edo katiba ya ccm amekua humo tangu akiwa kijana mdogo,lakini pia kuwazuia wanachama wa chama chochote cha siasa kueleza malengo yao ya kugombea uraisi au uwenyeki wa ngazi yeyote ni ubakaji wa demokrasia,Lakini pia hii inawapa picha wanachama kua tayari mgombea wa chama husika yupo,
 
Hivi karibuni Chama Cha Mapinduzi kilifanya mchakato wa kuwahoji baadhi ya wanachama wake ambao ama wamekuwa wakisemwa semwa kuwa na nia ya kugombea Urais mwaka 2015 au wale ambao wamekuwa wakifanya kampeni za wazi za kiny'ang'anyiro hicho kupitia CCM.

Wakati kampeni hizo zinafanyika kwa wale waliokuwa wanazifanya, bado Serikali ilikuwa haijatoa ruhusa kwa vyama vya siasa kuanza kufanya kampeni, na hata vyama vyenyewe bado havijawaruhusu wana Chama wake kuanza kufanya kampeni.

Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwakani, mwezi wa kumi, kama hakutakuwa na mabadiriko kama yaliyotokea ktk uchaguzi Mkuu ulipoita ambapo Chama kimoja kilipoteza mgombea mwenza kabla kampeni hazijasitishwa.

Madhara ya kufanya uchaguzi mapema kabla ya wakati uliowekwa na kukubalika na vyama vyote vya siasa nchini ni kwenda kinyume na sheria zake. Lakini pia, si busara kuanza kampeni mapema wakati Rais aliyopo madarakani bado hajamaliza muda wake. Madhara ya kuruhusu kampeni kabla ya muda wake ni kuhatarisha usalama au nchi.

Watanzania wameshuhudia baadhi ya viongozi kutoka CCM ambao wamehojiwa wakishiriki katika harambee mbali mbali za kuchangisha fedha kwa ajili ya maendeleo ya taasisi husika. Tumeona harambee nyingi zikifanyika Misikitini, Makanisani, Vyuoni, Vikundi vya wajasirimali kama vile, Bodaboda, vikundi vya akina mama, na kadhalika.

Kama hilo halitoshi, wengine wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha nguo za aina mbali mbali, kutunga nyimbo, zikiwanadi kuwa wao ndio wanaofaa kuwa viongozi wakuu wa nchi hii baada ya Jakaya Kikwete.

Tayari mpaka sasa ni kiongozi mmoja tu aliyetangaza kuanza rasmi safari hii. Huyu si mwingine, bali ni Mhe. Edward Ngoyai Lowassa. Alitngaza nia hiyo tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka 2014 alipofanya sherehe kubwa Wilayani Monduli na kualika watu kutoka kada mbali mbali ndani na nje ya nchi. Mhe. Lowassa alisema

"KILA BINADAMU ANA MALENGO KATIKA MAISHA YAKE. MUNAJUA MALENGO YANGU, MNAJUA NDOTO ZANGU. KUNIUNGA MKONO SIKU YA KWANZA NINAPOANZA SAFARI NI JAMBO KUBWA NA LA HESHIMA SANA...ASANTENI SANA.

MUMENITIA MATUMAINI KATIKA SAFARI TUNAYOIANZA LEO. SAFARI ILIYOJAA MINA NA MAWE, ILIYOJAA MABONDE, ILIYOJAA MAKORONGO, LAKINI KWA JINA LA YESU NINA HAKIKA TUTAVUKA...

NAPENDA MSTARI KATIKA BIBLIA UNAOSEMA SIMAMA NA UHESABIWE, NAOMBA RAFIKI ZANGU MUSIMAME NA MUHESABIWE MUSIOGOPE WALA MUSIONE HAYA. KUNA WAZANDIKI WALIANDIKA KTK BLOG MOJA KUWA "WOTE MONDULI MUNAENDA KUFANYA NINI? HAKUNA NG'OMBE WA KUTOSHA" WAAMBIENI KUWA HAMKUJA KULA NYAMA, MUMEKUJA KUNIUNGA MKONO. NARUDIA TENA, KWA HIYO NAWASHUKURU, TUANZE SAFARI HII, TUIANZE KWA PAMOJA TUKIJUA UHAKIKA WA USHINDI KWA KUWA BWANA YESU NDIO KIONGOZI WETU NA MIMI NAWAAMBIA KWA MSAADA WA MUNGU TUTASHINDA" Hayo yalikuwa maneno ya Mhe. Edward Ngoyai Lowassa.

Mpaka sasa hivi HAKUNA kiongozi yeyote kati ya wale wote waliohojiwa aliyetamka kuwa anataka kugombea, au kuanza safari, isipokuwa mbabe huyu (Mhe. Edward Ngoyai Lowassa) pekee ndio aliyeweza kufanya jeuri hii.

Katika kanuni ya Chama Cha Mapinduzi kuna adhabu mbali mbali ambazo hutolewa kwa wale wanafanya makosa. Makosa aliyoyafanya Mhe. EDWARD NGOYAI LOWASSA hayalingani na makosa waliyoyafanya wenzie. Hapa sioni kama nina haja ya kutoa mlolongo mrefu wa harambee na mambo mengine aliyoyafanya, ambayo yanayokiuka KANUNI za Chama Cha Mapinduzi.

Kamati ndogo ya maadili ilipitia makosa ya kila aliyehojiwa na kupendekeza adhabu kwa kila mmoja. KILICHOWASHANGAZA WATU WENGI NI PALE ADHABU SAWA ILIPOTOLEWA KWA WOTE.

Kilichotufikia toka ktk vyanzo vya kuaminika ni kuwa, Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Kinana na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Jakaya Kikwete, WALIZIDIWA NGUVU na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wanaomuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa, walioongozwa na Sophia Simba. (Majina ya wajumbe wengine tunayahifadhi kwa sasa).

Mittani watu wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kutokana na aina hii ya ADHABU. Nakishauri Chama Cha Mapinduzi kutoa ufafanuzi utakaoeleweka kuhusu ADHABU hii kabla mambo hayajaharibika.

.....hv...KIGUMU CHAMA CHA MAP INDUZI........

:$oq E
 
"majina ya wajumbe wengine tunayahifadhi kwa sasa" hii sentensi huwa siipendi
 
kigumuu chama cha majuha. ccm hawamwezi lowassa na ndie atakivunjilia mbali na kupotea ktk sura ya tz
 
wamezuiwa kugombea SERIKALI ZA MITAA TU , HUKO KWINGINE RUKSA !
 
Back
Top Bottom