Recent content by Annie X6

  1. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazima kwa waziri wa fedha Mh Mwigulu

    Benki za vigogo tena hazishikiki
  2. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

    Kuna mtu atatakiwa aamke usingiz wa pono
  3. Annie X6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

    Ndio maana naaamini Mungu kuumba mke wa Adam aliyeitwa Lilith...huyo ni shiida. Ndio kina Lucifer aaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  4. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Tuna Watanzania wengi sana wanachukia usimba na uyanga

    Hoja. Wengi wanaogopa kusema kwa sababu hizi timu mbili Zina nguvu kubwa. Yaani kama ni Mungu basi ungekuwa Ibada lakini ukweli ni kwamba ulucifer ni hali ya juu sana. Mimi kama Mimi sipendi serikali kuingalia soka. Hapa namaanisha hata fairness itakiwepo, nikisema serikali ni watu, viongozi...
  5. Annie X6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    Mleta Uzi hajasema, kipo sehemu ipi hasa. Kwa sababu kuna pale pakunyea, na au kipo pale Uti wa mgongo unapoishia? Angefafanua
  6. Annie X6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    Hijatembea ukaona
  7. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

    Je wanasherianhawakuwepo bungeni kuona hilo pengo??
  8. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

    Kuna kitu hakiko sawa vichwani kwako Cha chini na Cha juu
  9. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    St gogarty wana masharti gani? Biblical subject itampotezea muda pale precious blood
  10. Annie X6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

    Unaitia viungo? Mbona kama tamthiria
  11. Annie X6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

    PART 2 BADO??
  12. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Jaman muweke majina ya shule tuangalie
  13. Annie X6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

    Wale warembo. Nashuhudia mdada, na mke wa mtu Hana shape hakuna mwenye habari naye. Warembo watoto wa 2000 Hadi wa umri wa 38 ni kuninywa tu.
  14. Annie X6

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni, mageti, Mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji

    kuvuta Maji kwa mota kutoka dawasa, jaribu uone. ITV wakijakujaa hapo tena unaunganishiwa kesi kuwa unapitishia pembeni mita isisome, yote hay yanatokea ukiwa unajuta
Back
Top Bottom