Basi niliwaza nikimbie maana namwona kuna mrembo anayo kama sio mimi naonaga vibaya. Kimsingi ni mtazamo na set up ya akili ya Mwanaume ila haathiriki moja kwa moja right?Si sana kama mhusika mkuu lakini automatically kwa hali aliyonayo mwenzako kwa namna moja au nyingine lazima nawe uathirike hata kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
nitakitafuta hata kwa tochi ya kuchimbia madini ili tuuuuh nipate wasaa wa kukionaauwezi kukiona hii kazi tuachie sisi
Mtazamo binafsi na uelewa ni muhimu sana kwenye hizi ishuBasi niliwaza nikimbie maana namwona kuna mrembo anayo kama sio mimi naonaga vibaya. Kimsingi ni mtazamo na set up ya akili ya Mwanaume ila haathiriki moja kwa moja right?
Ila wao ndio hawana mikosi?hata wanaume wanavyo