Dr Ndalichako ni mwalimu wangu amenifundisha ni mtaalamu aliyebobea hasa katika maeneo ya upimaji na tathimini ya mitihani. Wanaomlaumu wanalao jambo. Kazi ya NECTA ni kupima uwezo wa wanafunzi katika maarifa waliyojifunza/waliyofunzwa huko mashuleni ambayo yanasimamiwa na wizara ya elimu ambapo...
usinunue gari kwao, Nunua gari Japanese Used Cars | BE FORWARD
Hawajamaa ni wazuri mi nimeshanunua magari manne toka kwao na wako fast. Hao siwaamini kabisa
WanaJF nauliza mbona viongozi wetu wa vyama vya upinzani kama CUF, CDM, NCCR nk wamenyamaza kabisa kuhusu hili la madawa ya kulivya?Je nao wanafaidika nalo? Ukimya wao umenishutia! Nauliza tu!Kwanini isiwe ajenda yao 2015?
Asubuhi nikiamka na kuelekea kazini kwangu maeneo ya Sinza nawakuta vijana wenye umri mdogo pembezoni mwa barabara, lakini sura zao zinaonyesha wamezeeka kwa sababu ya madawa ya kulevya.
Muda huo wa asubuhi unakuta wameshapata madawa na wamelewa ukipaki gari wanawahi kuomba kuliosha ili wapate...
Ninayo ninaiuza. Ipo safi, unaweza kuja kuiona kabla ya kuja nenda show room uone bei. Sabau ya kuiuza haitumiki vyema kwa sasa maana sipo TZ. Tangu nimeinunua toka japan almost 3 yrs ago sijjawahi kubadilisha spea ispokuwa oil filter a brak pads mara moja.
Your crazy, to be a gay or lesbian is the learned behaviour. No one is born gay or lesbian by god creation. There is no genetical prove. Your arguments are used by despirate people to rationalize this barbaric behaviour.
Mimi nawafahamu hao watani zangu wa Kinyaramba na Wanyaturu. Kawaida yao wanachagua mwenye hela na cheo. Kwa mazingira ya sasa ni kazi ngumu sana Kitila Kumshinda Mwigulu maana Dr kitla hana hela na cheo kama cha Mwigulu. Kumbuka kuwa Mwigulu sasa hivi atajipanga kushinda jimbo atatumia hela za...
Zito hongera umeonyesha ukomavu wa kisiasa. Mimi nakuamini unaweza, na unafanya siasa makini kwa mazingira ya Tanzania. Kila hoja uliyogusa ilileta hisia ya uzalendo kwa taifa letu. Mimi huwa naamini wewe kuwa miongoni mwa wabunge makini. Udhaifu wa binadamu upo, lakini hauwezi kuondoa mazuri yote.
Salamu zangu za mwisho wa mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 kwa CCM ni kuhusu nafasi ya naibu katibu mkuu wake Mwigulu Chemba. CCM inahitaji kumtafuta mtu makini mwenye uwezo wa kujenga chama na kufahamu taifa linataka nini kuelekea mwaka 2015. Rafiki yangu Mwigulu ni Janga Ndani ya CCM na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.