SBT sio matapeli?

SBT sio matapeli?

Muna117

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
20
Reaction score
1
Naomba nisaidiwe muongozo wa kununua gari sbt, maana walisha nitumia profomer invoice, na wananipigia sana simu, cha kushangaza mara nyingine ni simu za hapa nchi namba wanazozitumia ukipiga haziingii, mara zote zinakaa au zipo busy
 
They're trustworth.. Nimeshanunua gari tatu hadi sasa toka kwao na ninavyoongea nawe kuna gari iko njiani yaja, Ondoa shaka. Kwa uhakika zaidi wapigie kwa namba hii +81452909485
 
Kuna ukweli hapo? coz hawa jamaa gari zao bei rahisi sana mpaka zinatia shaka then ukiingia kwenye mtandao wao wanauliza kama unahitaji msaada.....

Kama ni waaminifu ni jambo jema.
 
Jamaa wako vizuri na wanaaminika.Wanajua namna ya kumjali mteja,rafiki yangu ameshanunua magari mawili kutoka kwao.
Kama unahisi wasiwasi wasiliana nao ili uweze kununua gari ambalo tayari lipo nchini kwani wana magari mengine yapo hapa Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
They're trustworth.. Nimeshanunua gari tatu hadi sasa toka kwao na ninavyoongea nawe kuna gari iko njiani yaja, Ondoa shaka. Kwa uhakika zaidi wapigie kwa namba hii +81452909485

Thanks brother leo nimetuma pesa ngoja na mimi nijaribu, maana mara nyingi nilikuwa nawatumia autorec
 
Jamaa wako vizuri na wanaaminika.Wanajua namna ya kumjali mteja,rafiki yangu ameshanunua magari mawili kutoka kwao.
Kama unahisi wasiwasi wasiliana nao ili uweze kununua gari ambalo tayari lipo nchini kwani wana magari mengine yapo hapa Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Tupe wanakopatikana,hakuna kampuni hata moja ya kijapan yenye stock ya magari hapa Tz,
 
Wapigie simu yao hapo juu, hiyo ni kampuni ya Waarabu though ina deal na gari toka Japan..
 
Tupe wanakopatikana,hakuna kampuni hata moja ya kijapan yenye stock ya magari hapa Tz,

Huwa wana utaratibu wa ku'ship baadhi ya magari Tanzania na kama mteja una uwezo wa kuchagua lolote.
Hii e-mail wamenitumia siku za karibuni(sijaweka hiyo attachment):

Dear Friend,

Pls find attached files of the cars already shipped to Tanzania. Right now we have 5000 vehicles booked and 2450 vehicles has already been cleared. So pls check attached files and kindly provide the stock id number of the car you want. Looking forward to your feedback. Thank you.

Any car you want among the list pls inform me. BL will be amended in your name. Awaiting for your feedback.

ALSO WE ARE SELLING OUT THESE CARS ONLY ON 30% PAYMENT AND GOOD DISCOUNT IS AVAILABLE.

--
Regards,
Ahmer Khan
SBT JAPAN
Business Development Exec.
Sales Dept. (Tanzania)
Skype: sbt.9660.ahmer
Tel : +81 45 290 9485 (ext: 9660)
ahmerkhan9660@sbtjapan.com
www.sbtjapan.com

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Thanks brother leo nimetuma pesa ngoja na mimi nijaribu, maana mara nyingi nilikuwa nawatumia autorec

Hongera sana mkuu,uwe unatupa mrejesho wa kila hatua.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Niko kwenye mchakato wa kuagiza kwa hawa sbt.
Naombeni msaada wa consignee name and adress?
 
Msingida consignee name and address hapo unapaswa kuweka jina lako au jina la unayemuagizia gari pamoja na anwani yake kama linavyoonekana kwenye TIN certificate.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Naomba nisaidiwe muongozo wa kununua gari sbt, maana walisha nitumia profomer invoice, na wananipigia sana simu, cha kushangaza mara nyingine ni simu za hapa nchi namba wanazozitumia ukipiga haziingii, mara zote zinakaa au zipo busy

Ondoa shaka kabisa, hao SBT wako vizuri kinoma. Niliagizia gari kupitia wao. Na mpaka leo bado wameendelea kuwasiliana na mimi. Yaani ukishakuwa mteja wao hawataki kukupoteza hivyo wataendelea kukupigia. Its true sometimes huwa wanatumia number za Bongo, nahisi wana mawakala wao hapa nchini.
 
Hivi ukiagiza gari on your own pale bandarimi inakuwaje kuclear? Na hiyo 30% payment inakuwaje tafadhali anayejua anifafanulie.
 
Tupe wanakopatikana,hakuna kampuni hata moja ya kijapan yenye stock ya magari hapa Tz,
hilo swali zuri tumechoka kununua magari kwenye mtandao wao wanatakiwa wayalete hapa bongo kwa wingi alafu watuuzie sisi .
 
Back
Top Bottom