Watu hawaelewi tu mkuu, shetani anawapa watu ubize kutafuta vitabu vilivyopungua na vilivyoongezeka, ilhali hivyo pungufu hawajavimaliza. Yesu atarudi akute watu wanatafuta vitabu vilivyopunguzwa hahaaa! we baki unatafuta kitabu cha Enoko, unaachwa hivihivi.
Vitabu 73 mmevimaliza? Malizeni kwanza hivi ndio mtafute vingine. Ukisoma injili moja tu mfano Yohane inatosha kukufikisha Mbinguni. Hivyo mimi sioni shida viwepo au visiwepo.
Really really sad! . Mungu Baba wa Mbinguni awalaze our little Angels, walimu wao na dereva wao mahali pema peponi, Amina. Poleni sana wafiwa, Mungu Baba awape faraja yake na kuiganga mioyo yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.