Ibada za kuchoma pesa na kulisha mizimu

Ibada za kuchoma pesa na kulisha mizimu

...shida ya mizimu inakulazimisha uishi maisha waliyoishi wao....utakuta kwenye ukoo tangu babu mpaka kitukuu....kama wa kwanza alikuwa na tatizo flan basi hilo kila atakae
zaliwa lazima akutane nalo sasa pambana
kujitenga nayo utaona vita yake lkn ukikomaa yanakuacha kabisa. ..Huwa yanasumbua kukutoka sababu yanakuwa na uhalali nawewe ndio maana.....

Kati ya vitu babu zetu walitukosea huku duniani ni kuabudu mizimu. Ni tatizo kubwa hakuna mfano [/SIZE]
 
Nakubaliana wewe kwamba kujaribu kujitoa ni vita. Vita inazidi kuwa kubwa haswa pale ambapo wewe ulifanyiwa matambiko ya huko kwwnye mizimu, mfano kuchinnjiwa mbuzi na kupakwa damu yake na kuvishwa ngozi yake mkononi, yote haya yalifanywa na wazazi wako alafu wewe usifanyie wanao ati unajidai waokoka weeeesse!!!!! Hiyo mikosi sasa ohooooo!!! Bila Mungu Wa ukweli huwachomoki mizimu.

Vita yake si ya kitoto
 
Hata wahindi huwa wanachoma hela huku wakisindikiza na nazi, miaka yooote sikua naelewa kwanini wanarusha pesa kwenye kuni zilizosimmishwa kwa majani makavu halafu wanauzunguka.moto huo huku wakirusha noti ndani yake na nazi pia. Kumbe wanajiyengenezea usmati wa kupata kipato zaidi!!! Sijui nami nianzeee [emoji16][emoji16] nipe utaratibu [HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] jr
 
[emoji15] [emoji3] [emoji779] Please be advised... [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
.
IMG_20180523_091023.jpg
IMG_20180523_090937.jpg
 
Back
Top Bottom