Ibada za kuchoma pesa na kulisha mizimu

Ibada za kuchoma pesa na kulisha mizimu

Asilimia 85 ya wanadamu huangukia sana kwenye vitu ambavyo ni tofauti na matakwa ya Mungu, ima kwa shida tabu na mateso au kwa kujaribu na kukomoana
 
Wengi wetu hatujui kwamba mizimu ipo na kazi yake kuu ni kusimamia maagano ya koo, unaweza kuambiwa umefungwa kimaisha sasa wewe ukajua moja kwa moja ni wachawi wamekuroga kumbe lah, simply ni kwamba umeenda against maagano ambayo mababu zako wali sign on behalf. Sasa unaweza hangaika kwa wanganga miaka nenda rudi lakini mambo yako yanazidi tu kukuharibikia zaidi.
Walisaini mkataba wapi
 
Mizimu ipo na inafanya kazi, tatizo ni hawa wazungu wakaja kutuharibia mila zetu japo wao ndio wataalamu zaidi wa mizimu.
Sio lazima kuacha kuiabudu ukiona inakusaidia.....
Ingawa sisi mambo mizimu ilishatushinda sababu inakulazimisha usiishi maisha yako....inataka uishi maisha yao
 
Sio lazima kuacha kuiabudu ukiona inakusaidia.....
Ingawa sisi mambo mizimu ilishatushinda sababu inakulazimisha usiishi maisha yako....inataka uishi maisha yao

Ni lazima sana kuacha kuabudu mizimu. Hiyo ni miungu mingine, unaipa heshima ya Mungu wa Mbinguni
 
Ni lazima sana kuacha kuabudu mizimu. Hiyo ni miungu mingine, unaipa heshima ya Mungu wa Mbinguni
...shida ya mizimu inakulazimisha uishi maisha waliyoishi wao....utakuta kwenye ukoo tangu babu mpaka kitukuu....kama wa kwanza alikuwa na tatizo flan basi hilo kila atakae zaliwa lazima akutane nalo sasa pambana kujitenga nayo utaona vita yake lkn ukikomaa yanakuacha kabisa. ..Huwa yanasumbua kukutoka sababu yanakuwa na uhalali nawewe ndio maana.....
 
Kule kwetu babu kabla ya kuanza kuvuna mpunga, mnatwanga pepeta au bwimbwi babu anatambika.
Alafu kesho yake mnaanza Kula wali mpya wa mchopeke au ngalang'anyu.Wenyeji wa Ifakara wanaelewa
 
Jamani if you real want to be safe GO TO GOD, HE IS OMNISCIENT.
 
Mizimu huwa inafanya kazi haraka.. They are "blood oriented" kama kuna mchaga hapa ataelewa nikisema

"Iwe lya bokidi"
Li jiwe mahususi kabisaa lipo Nyumbani katikati na Mara nyingi kwa mwaka lazima mbuzi achinjwe hapo.. Mie naona ibada za mizimu ni kama utumwa Fulani hivi..
Utasikia MTU anasema mizimu yake inamsumbua.. Amejuaje ndo shida...

Mizimu ya kimasai INA namna ya kuombwa hadi kwa kutumia pembe ya ngombe na inaombwa kwa maziwa !!!!
Inatulizwa inaweza kataa au kubali
 
Back
Top Bottom