Recent content by Anna ndali

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Habari kaka. Naitwa Anna Naomba kujifunza kilimo cha nanasi kwako ninakusudia kulima nanasi.
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa ndoa katika karne hii

  3. A

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Nimejikuta naipenda Ractis rafiki yangu anayo. Nataka niinunue unaweza kusaidia kuzijua sifa zake au nikimbie
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ractis, IST au Premio wapi pazuri pa kujiweka zama hizi?

    Nataka nichukue RACTIS ila comment zimenitisha. Ila sijaelewa mnasema haitumii sana mafuta ila cc 1500. Nimestack hapo. Naona cc ni kubwa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha yalivyo, nimewawekea wanangu Asset hii ije iwasaidie baadaye

    Mimi pia walinivuruga. Nilipoenda kununua miche nikawaambia walivyosomeka kwa wadau walicheka sana na kusema basi watu wasingelima maana hakuna faida kwa staili hiyo. Kumbe ile ni kwa muangusho
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha yalivyo, nimewawekea wanangu Asset hii ije iwasaidie baadaye

    Umewahi hudumia minazi ya kisasa maana inasemekana inatakiwa sana na magonjwa. Nilihitaji kuipanda ila wataalam wanasema inahitaji usimamizi wa karibu sana ili ikue. Naomba unisaidie uelewa kidogo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha yalivyo, nimewawekea wanangu Asset hii ije iwasaidie baadaye

    Dah uminitia moyo sana nina ekar tatu nimepanda minazi nilikuwa naona ni padogo hazitaweza kunilea baadae. Ubarikiwe sana. kuliko wale wanaosema minazi hadi uwe na ekar kumi ndio utaenjoy kumbe naweza kutamba na minazi yangu 230
  8. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nafaka - Masoko

    Ulishapata hiyo connection?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kushirikiana katika kilimo

    Ulisha pata mshirika
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ielewe Siri iliyopo katika Miguu yako katika Ulimwengu wa Roho

    Nimefika hapa baada ya kuota ndoto miguu yangu ni michafu. Nami nimeenda nyumba fulani naomba niingie bafuni nipashe miguu ibadilishe na nguo. Katika kutafuta fasiri nimefika hapa . Asante sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Naomba no yako ndugu nije kujifunza
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ndoa ilinipotezea muda wangu, iliniacha na Maumivu na kilema cha Maisha yangu

    Nimejiuliza pia anasali sura zote za quran na majini yanamshinda? Ningewasha moto mpaka huyo baba angekimbia nyumba yake. Najifunika na damu ya yesu misukule inivae uwiii kwa kweli kina la Yesu lina nguvu.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Nahitaji nije kujifunza ufugaji wa Mbuzi. Nina heka nne Morogoro nahitaji kufuga. Unapatikana wapi?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

Back
Top Bottom