Recent content by anna mbuja

  1. A

    JamiiForums Tanzania Waongeza wowowo wote, angalizo

    Lohhhhh nitakufa na flat screen yangu ya sonny wega lohhhh!!
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu anachat na kuwatumia picha zangu watu nisiowajua

    Mmmmhhh pole sana you're mom is my mum age but nashukuru mungu alivyonizaa mimi tu akaokoka she's born again.... muombe mungu akupe hekima ya kuongea na mama yako!!
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa upuuzi huu wa wife, hivi nikigegeda rafiki yake nitakosea?

    Lohhhhh eti kibinda nkoi nimecheka sana jamani!! Jf raha sana mweehhh
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vibaby vya Salim Kikeke

    Alisema hatakuwepo kazini kwa mda wa wiki sita... end of this month he will be back....
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi zinazofukuza nyoka zaidi ya hizi?

    Mkuu petroli au diesel tena ile chafu!!?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Picha 21: Utajiri wa Mwanasiasa mtata wa Marekani Donald Trump

    Usiseme hivyo mshukuru mungu kwa kidogo ulichonacho ndugu yangu!!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Picha 21: Utajiri wa Mwanasiasa mtata wa Marekani Donald Trump

    Lohhhhh shkamoohh trump!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

    Mmhhhhh pole yake kiuno bila mfupa!!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya wanawake kuzeeka haraka

    Hahahahahahaa nimecheka sana aiseeehh!!!!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Leo nayatoa ya moyoni

    Mmmmhh pole! Ila mngeyamaliza huko pm jamani!!!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bunge labana matumizi na kuokoa Bilioni 6/-. Zitatumika kutengenezea madawati

    Naunga mkono hojaa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tunda aina ya nanasi ni hatari kwa akina mama wajawazito!

    Mmmhhh mie nikila nanasi ndani ya dk kumi nakimbilia toilet jamani... sasa sijui digestion ina take place faster nikila nanasi!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akitanua na Nyumba na Magari ya Kifahari. Mbeya mtasubiri sana

    Wewe ulitakaje kwa mfano ulitaka ale screpa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Duhhhh jamani wa jina mbona kaniangusha mweeehh!!
Back
Top Bottom