Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 39,981
- 96,230
Hii inakuhusu wewe member wa jf...
Kwanza naomba ukome kua unanitaja kwamba mimi ni mchumba wako aiseeee, na tambua kwamba nimechoshwa na hii hali ya kua ukinitaja kila kukicha na hauishi kunitangaza kila unapoweza kutangaza.
Nakumbuka tulikua wapenzi na ulinihakikishia kwamba umeachana na baba J ambae alikua mumeo wa pili. (hii nilikuja kujua baada ya kua kwenye mahusiano na wewe kwa muda kadhaa)
Ok.
Niliamua kuvumilia kwakua niliona isiwe tabu kwani sikuona madhara kwa wakati huo.
Nakumbuka tulipanga mipango mingi na mengi tulianza utekelezaji baada ya kua tumeafikiana kufanya maisha kwa pamoja.
Duhh......
Kumbe nilikua najidanganya kwa kuwa muda mwingi yalio kua yakifanyika sikua naweza yajua kwa urahisi kwa sababu ya kuishi mbali (nje ya Tz).
Tukio la pili ukaja kunieleza kwamba una mtoto mwingine ulizaa na mshkaji kipindi cha ujana na mtoto yupo kwa baba yake. Anyway..... nilitafakari sana na kuona isiwe tabu, nikaamua kupotezea ili maisha yaendelee kwani tulikua tayari tuna mipango ya utekelezaji ili maisha yaende.
Nikiwa nje ya bongo ghafla nilipata msg ilio nistua sana toka kwa mtu alie jitambulisha kwamba ni mumeo na akanitumia cheti cha ndoa mliyofunga wewe na yeye mwaka flani. Kiukweli nilipatwa na ganzi na sikuweza vumilia na nikaamua kumpigia mshkaji nijue kulikoni na wapi amepata namba yangu. Kiufupi jamaa alinieleza mengi sana na hata akaniambia mlikua pamoja siku flani, na wewe ndie ulimtumia nauli aje mkutane kwenye guest flani. Jamaa kwa ushahidi alinitumia picha yako ukiwa unavua gauni na hata akiwa amekuingilia huku wewe ukiwa kwa juu...
Hakika nilistuka sana hata sikuweza kufanya kazi.
Anyway.....
Najua utapitia hapa na uone niliyo yaandika.
Nitarudi after 25 minutes kuendelea