Recent content by Ann-Katrin

  1. A

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Tena Kamanda Mohamedi Mtoi hakuea hata na kovu la miba lakini kumbe alivunjika pingiri moja ya UTI wa mng'ongo na ikazama ndani ikasabisha kifo! Nilikuwepo mwili ukifanyiwa uchunguzi! Japo watu wa nje wanadai ni uchawi! Mwacheni Mungu afanye kazi yake!
  2. A

    Mombo-Lushoto Pics

    Umenikuna moyo wangu this place lack creative leaders but could be one Of the major source for income through tourism!
  3. A

    Picha: CHADEMA yaendelea kukubalika jimbo la Zitto

    Namfahamu Ndugu Peter Acran nimesoma naye master of art in history udsm Mungu akipenda tunsmaliza mwaka huu! Ni Kamanda sana na anastahili
  4. A

    Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

    Acha kujidanganya Mboye bado anahitajika chadema kuliko wakati wowote ule
  5. A

    Prof. Safari ajitosa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti CHADEMA taifa

    Huna lolote mbana pua wewe angalia usije ukawa chakula ya watu
  6. A

    Matokeo ya Jimbo la Lushoto

    Matokeo Jimbo la Lushoto Mwenyekiti jimbo -Philemon Mtoi Katibu -Germano Mbelwa Katibu Mwenezi -Wencenslaus A. Diem Mweka Hazina -Frowin Mgani Mwakilishi Mkutano mkuu -Dickson J. Shekivul. Wajumbe Kamati Tendaji -Yassin Madiwa Hoza -Charles Thomas -Pius Raphael.
  7. A

    Ally Bananga: Miezi minne ya kuaminiwa na wanasombetini, tumefanya yafuatayo

    Kusema kweli Bananga ni kichwa, nimekutana naye kwa muda mpupi lakini, he is a man with high intelligence. Sombetini mmepata jembe.
  8. A

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Pole kaka Zitto tumuombee mama apate pumziko jema
  9. A

    Mgombea udiwani alietekwa vipi ?

    Hili swala tunalifanyia kazi na ni muhimu sana kuufanya uchunguzi juu ya swala hili
  10. A

    Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    Nimevutiwa na majibu yako! Umejibu kwa hoja madhubuti na hapo ndio ninapoipenda chadema ina watu makini sana. Makene ni kujulishe tu wakati tupo mkwawa university makamanda wa pale tulifanikiwa kujua hila za ccm kupitia kwa Wasira ambaye alikiri mbele yetu mwaka 2007 kuwa mwisho wa chadema na...
  11. A

    Anapenda nimchezee muziki kabla ya kungonoka

    Duh pole sana, sasa kwenye taarabu unachezaje?
  12. A

    Waraka wa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Ndg. Absalom Kibanda kwa Rais Jakaya Kikwete

    Kibanda tupo nawe na hawa wasomi wanaoonesha udhaifu ni wengi sana! Rais chukua hatua haraka
  13. A

    Happy birthday Kamanda wa anga

    Happy birthday kamanda wangu!
Back
Top Bottom