Recent content by Ankokidevu

  1. A

    Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

    Nawaza kama mtu angejigusa katikati ya mapaja ingekuwaje
  2. A

    Faida za kumkausha ng'ombe

    Kiswahili ni kigumu aise, Mawazo yalikuwa kwingine kabisa, nilidhani kuandaa nyama yake kama kitoweo kwa kumbanika kwenye moto
  3. A

    Biological science and undestanding in biology

    Wakati wetu tulifupisha BS hicho cha biological science, niliwatunzia wadogo zangu hicho kitabu lakini hakuna hata aliefuata masomo ya sayansi. Ngoja waje wenye soft copy
  4. A

    Simu ya zamani Samsung galaxy grand prime + Inasumbua

    Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore. Baada ya kuipeleka kwa fundi aliniuliza kama naweza kukumbuka email na password za google akaunti yangu...
  5. A

    Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

    Hatuna siku zetu, ilimradi tuña afya njema. kila muda huwa tuko hot, mnatukosea sana mnavyotunyima hata nikichepuka kama matokeo ya kunyimwa huwa sijutii kabisa sijui kwa nini tuliumbwa kuwa hot muda wote
  6. A

    Daktari wa Kichina afariki akimuokoa mama aliyekuwa anazama majini Kigamboni

    Hakika Inasikitisha sana. Najiuliza maji yalimzidije akazama? Sijawahi kuogelea kwenye bahari lakini nimeogelea ziwani na mtoni. Tukiwa vijana wadogo ( umri wa miaka 12- 13) tulikuwa tunaogelea maji yenye kina kirefu, mara 3 ya kimo chetu bila life jacket na tumewahi kumwokoa kijana mkubwa...
  7. A

    Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

    Ya kwanza miaka 24 ilikuwa ya nyasi Ya pili 30 kwa kudunduliza na mkopo bado sijamaliza
Back
Top Bottom