Recent content by ANKOJEI

  1. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    so uvumilivu ni upi?
  2. ANKOJEI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguna Miguna anaishi wapi?

    Swali wajemeni, kwa wanaojua, Huyu jamaa anaishi wapi? nakumbuka ile timbwili lake uchanguzi uliopita ambao Uhuruto walipata asilia 97% baada ya uchanguzi kususiwa na Odinga, baada ya hapo sijamsikia tena. Je, ni mkimbizi? Kwanini Uhuruto hawakumsamehe kama walivomsamehe Odinga? Msaada...
  3. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Kabla hajaenda mbali amrudishe kwanza Miguna, pumbafyuuuu zake
  4. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano kati ya Wanawake kucheza mpira na kuwa 'Tomboy'?

    ronda rose anamimba
  5. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza

    Huwezi tubu kwa aliyekwenda zake kwa baba yake
  6. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia kwenda Dodoma - Dar na Dar - Dodoma zimekuwa nyingi sana

    General Ulimwengu aliwahi sema kwamba yeye akiuliwa ni wapi Makao makuu ya nchi yalipo kwa sasa jibu lake litakuwa ni Katikati ya Dar na Dodoma. JITAHIDI UKIMALIZA EDIT/soma upya, kabla ya kuposti. ila ulichokuwa unawaza pia kina mashiko
  7. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonesha sintofahamu (ombwe) kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni

    So story ni zile zile tangia kwa mwendazake "anajisikia vibaya" and yet watu wanamchukulia poa hadi anakufa. Ukisikia mtu anasema anajisikia vibaya sasa ivi lazima ujiongeze
  8. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Chadema, mmeshindwa na mtashindwa tena!

    Mambo yalianza taratibu wao wakaendelea na mapambio ya kumkosoa marehemu na kumsifia biushungi Hakupandisha mishahara, wakawa kimya Akasema raisi hakosei, wakawa kimya Wabunge Covid-19 walikuwapo bungeni akihutubia, wakawa kimya Now babu kubwa, hakuna katiba mpya na hakuna mikutano. fullstop...
  9. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Move calculated, Samia hataki kukutana na wapinzani kawawekea mtego, ili aone heshima zao ziko wapi, wapinzani watarudi sero tena, nawashauri ili pesa wasiitumie.
  10. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

    Kiama kinakuja dola itakapofika 3000 by december, kila ki2 kitakuwa double digit. Ngoja tuone picha hili linasomekaaje.
  11. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

    iyo stone crusher ni nchi gani dunian?
  12. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

    Hekima ya mwanadamu kwa Mungu ni upumbavu, usijisumbue kwa neno lolote
Back
Top Bottom