Recent content by Anicet mchomvu

  1. Anicet mchomvu

    Je, ulishawahi kusikia wanawake wasiokua na uke wala tumbo la uzazi?

    Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian...
  2. Anicet mchomvu

    Ulizaliwa mshindi, kwanini ushindwe?

    🛑HEBU TURUDI SHULE KIDOGO! #NA__USOME_HADI_MWISHO Biology inasema, baada ya tendo la ndoa mbegu za kiume zinazoingia kwa mwanamke ni takribani mbegu milioni mia tatu(300,000,000) na zote huanza kuogelea kuelekea kwenye ovum (yai). Kati ya hizo mbegu milioni 300 zinazofanikiwa kufika sehemu...
  3. Anicet mchomvu

    Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. Anaweza somea ualimu akawa mhudumu wa bar au boda boda. 2. Mwambie kufaulu taaluma sio kufaulu maisha. Wapo watu wenye elimu kumzidi yeye ila hawana ajira. Hata wenye ajira bado maisha magumu. 3. Mwambie kupata...
  4. Anicet mchomvu

    Viongozi walio onja hasira ya Mwalimu Nyerere.

    #KUMBUKIZI_YA_BABA_WA_TAIFA 1. IDD AMINI. Alipoivamia Tanzania na kusema mpaka ni mto Kagera, Mwalimu alitamka tutampiga nduli!, Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda. 2. KOLIMBA. Alipotamka CCM imepoteza Dira na mwelekeo, Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme...
  5. Anicet mchomvu

    Bahari mfu (dead sea) na uhalisia wa msomi wa tanzania

    Mimi ni Mwl wa GEOGRAPHY pia na nilijifunza hili toka Bahari hii hadi ikaitwa hili jina. BAHARI hii iko Mashariki ya kati, Inaitwa BAHARI YA CHUMVI ama BAHARI MFU kwa sababu hakuna Uhai ndani yake. BAHARI Hii inapokea maji yake toka MTO YORDANI, Mto huu hupeleka Maji pia ZIWA GALILAYA. Hii...
  6. Anicet mchomvu

    Konokono, lishe bora yenye virutubisho vyote

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu wa masuala ya lishe (nutrition) wa nchini Nigeria, umebaini kuwa nyama ya konokono ni nzuri kwa afya yako, kwani ina protein nyingi, calcium na madini ya chuma kuliko nyama zingine, na muhimu sana kwa afya ya mtoto na mama mjamzito.
  7. Anicet mchomvu

    Uwanja wa ndege Chato waibua mjadala bungeni

    Dodoma. Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Chato mkoani Geita jana ulizua mvutano bungeni baada ya mbunge wa Malindi (CUF), Alli Saleh kuhoji sababu za kujenga uwanja huo. Akichangia taarifa za kamati za Bunge za Miundombinu na Viwanda, Biashara na Mazingira, Saleh alisema nchi nzuri haiwezi ikawa...
  8. Anicet mchomvu

    Hakimu wa kesi ya Mbowe, Matiko ateuliwa kuwa Jaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Dar es salaam Wilbard Mashauri kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Rais Magufuli ametangaza uamuzi huo jana kupitia Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Ikulu Jijini Dar es...
  9. Anicet mchomvu

    Makonda amponda Tundu Lissu, adai bado anaumwa hivyo yawezekana akili yake haifanyi kazi sawa sawa

    "Lissu kama bado mgonjwa inamaana kichwani mambo hayajaakaa vizuri na ndo maana anahitaji matibabu na akitoka kule, tunamuomba Spika amfikishe Mirembe pale na aendelee kumuhudumia"- RC Makonda. HABARI KAMILI..... Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka Spika wa...
  10. Anicet mchomvu

    Utani wa Rais Magufuli na waziri Kigwangalla

    Rais Magufuli: Hongera, naona unataka kwenda Zanzibar...umepata? Kigwanga: (akicheka): Ahsante Mhe., si unaona ni ‘keupe’? Rais Magufuli: (akicheka): Tena wewe si unaruhusiwa wanne? Kigwangala: Kabisa Mhe., bado nina nafasi tatu! Naona Shangazi kadata na Mheshimiwa :rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  11. Anicet mchomvu

    Bulaya amewataka Waziri Jenista Mhagama na Mkurugenzi wa SSRA kujiuzulu

    Pili nimpongeze Rais JPM kwa kuielewa hoja ya Ester Bulaya na kuifanyia kazi. Lakini washauri wa Rais hawakufanya assignment yao vizuri. Kanuni ya kukokotoa mafao ambayo Rais JPM ameifuta leo, ipo kwenye sheria ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii (Public Service Social Security Act 2018) iliyopitishwa...
  12. Anicet mchomvu

    Bulaya amewataka Waziri Jenista Mhagama na Mkurugenzi wa SSRA kujiuzulu

    Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Bulaya ambaye pia ni Waziri Kivuli (Ofisi ya Waziri Mkuu) wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, amewataka Waziri, Jenista Mhagama na Mkurugenzi wa SSRA kujiuzulu, baada ya Rais Magufuli...
Back
Top Bottom