Ulizaliwa mshindi, kwanini ushindwe?

Apr 18, 2012
95
213
SOMO LA UKWELI.PNG

🛑HEBU TURUDI SHULE KIDOGO!
#NA__USOME_HADI_MWISHO
Biology inasema, baada ya tendo la ndoa mbegu za kiume zinazoingia kwa mwanamke ni takribani mbegu milioni mia tatu(300,000,000) na zote huanza kuogelea kuelekea kwenye ovum (yai).

Kati ya hizo mbegu milioni 300 zinazofanikiwa kufika sehemu husika kwenye yai ni mbegu 500 tu, nyingine huchoka mapema na kufa njiani.

Vilevile katika hizo mbegu 500 zilizofanikiwa kufika kwenye yai ni mbegu moja tu ndiyo hushinda na kuingia ndani kutengeneza kiumbe!
Mbegu hiyo ni wewe unayesoma ujumbe huu...
Biology inatuambia kuwa ulikimbia mbio na kuwashinda wenzio milioni 300 na ndiyo maana leo hii upo duniani...
Usingekuwa mshindi katika mbio zile leo usingekuwepo duniani...
Je, umeshawahi kufikiri juu ya hili!?
🕳Ulikimbia bila macho, mikono wala miguu na ukashinda!
🕳Ulikimbia bila elimu yako, ujuzi wala vyeti na ukashinda!
🕳Ulikimbia tena bila msaada wa mwingine yeyote na ukashinda...
🙄Ni kitu gani leo cha kukufanya uwaze kushindwa katika maisha kiasi cha kukata tamaa!?
🤝Sasa unayo macho, mikono na miguu,
Una elimu, ujuzi na maarifa zaidi unaongozwa na maneno ya MUNGU...
kwanin uwaze kushindwa!?
#Tafakari_weka_malengo_muombe__Mungu__kisha__pambana
Ulizaliwa ukiwa mshindi usiishi maisha ya Kukata tamaa 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾 mskirikishe MUNGU kwa kila jambo utafaniniwa
SHARE .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom