Recent content by angolile

  1. A

    Jifunze Makosa haya Katika Mapenzi toka kwangu

    Don't be negative kwani anakupima uvumilivu wako, ila umechemsha kumwanika kwetu. Keep on waiting atakuja tu.....baba, mama na wewe ni 50 au hujasema uliyokuwa umeandaa kujirusha naye akifika?
  2. A

    Vitu ambavyo huwapagawisha wanaume wamwonapo mwanawake.......!

    Unaweza kuta anasifa zote hizo ila mbunye iko ovyo...., ila kunamwingine huwezi hata kuwaonyesha marafiki zako, lakini mbunye yake ni mnato hadi raha.
  3. A

    Tambua kuachwa au kujiachisha

    Hakuna mtu anayependa kitu kibaya duniani. Ukiona mtu anakuacha ujue chanzo ni wewe...tuache tabia ya blame shifting. Kuna mtu hata umshauri namna gani yeye utakuta anaendelea kuboronga tu. Kwa mfano unamwambia mpenzi wako "ungevaa skin jeans ungetoka vizuri, anakujibu ndio dem wako wa nje...
  4. A

    Duh! Wanaume kwa kupenda sifa!

    I agree with you 100%; what is the way forward? Maana hilo ndilo la msingi...kiukweli si busara kuendelea kuwa katika dimbwi la namna hiyo. Kwa kifupi ndoa nyingi zimebakia jina tu kwa sababu zilizoainishwa na Vukani
  5. A

    Wakuu kuna umuhimu wowote mume kula chakula cha nyumbani!

    Hapa ni vizuri tukawa katika uhalisia; siwezi kula wali maharagwe wakati nimeutwika nvinyo...nitarudisha change tu na mke/house girl kupata taabu ya kudeki. here I mean mke aandaye chakula kinachofanana na nilivyo,,,,,lazima nitakula; vinginevyo supu ya kongoro au nyama choma inanihusu baa.
  6. A

    nani wa kulaumiwa?

    Mara nyingi tunashindwa kujua kwamba hatua zinazochukuliwa baada ya kugundua tatizo ndizo za mhimu kuzingatiwa kuliko tatizo lenyewe. Kwa mfano tatizo ni mtoto kavunja kikombe, halafu baba/mama unachukua hatua ya kumpiga hadi kunvuja mkono.....are you solving or adding the problem???? Kwa jamii...
  7. A

    Nimechanganyikiwa !!!

    Pole sana kwa hayo yote; kwa kifupi ni kwamba umechanganyikiwa kwasababu umejua kinachoendelea. Ni vema ujue kwamba kuna wengi wa aina yako isipokuwa hawajapata kujua kinachoendelea hence they are happy with their life. Ni vizuri ujue kuwa HIV feeds on our ignorance na sio ugonjwa wa kutisha...
  8. A

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    Mwanamke Mpumbavu, huibomoa nyumba yake kwa mikono yake yeye mwenyewe: simaanishi kuwa wewe ni mpumbavu ila wakati mwingine nivizuri kurudi kwenye maadili ya kidini kutatua mambo yetu. Miaka ya nyuma kidogo kuna lecturer mmoja alimfelisha mtoto wake pale SUA ingawa yule kijana alikuwa na...
  9. A

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Ni vizuri wasomi wa Dodoma muelewe matakwa ya watanzania na siyo matakwa ya sisiem. Ushujaa wa wabunge wa CHADEMA unamaana kubwa sana kwa rais aliyeiba kura (chakachua kura). Walichokifanya CHADEMA ni kuwaeleza watanzania wenye nia njema na nchi yao kuwa huyu rais hakuchaguliwa na watanzania ila...
  10. A

    Uteuzi wa Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara

    Samahani mjomba halikuwa trector la kusukuma kwa mkono, ila lilikuwa na uwezo wa kutumika kwa kazi mbalimbali kama vile kukoboa mahindi na kusaga nafaka za aina mbalimbali. Naungana na wengine waliompongeza Makungu (Prof.), na hii ni dalili njema ya utumishi wake bora na umakini. Honengera ila...
Back
Top Bottom