Pole dada, nenda kapime hata kama umeambukizwa what you need ni kutulia na kufuata masherti ya wataalamu kwani ukimwi sio kifo wangapi wanao wanishi up to 20 years, lakini wasiokuwa nao wanakufa na vifo vingine. Kisukari sasa hivi ndo kinafuatia baada ya malaria na ukimwi unakuja nafasi ya tatu lakini wenye kisukari wala hawaogopi na wala dawa zao haziitwi dawa za kuongeza maisha.
Usiogope nenda kapime ujijue na ubadili tabia. Huyo mtu ni mshenzi sana wanasambaza makusudi watu wa aina yake.
Usiogope nenda kapime ujijue na ubadili tabia. Huyo mtu ni mshenzi sana wanasambaza makusudi watu wa aina yake.