Tambua kuachwa au kujiachisha

Mestod usiseme hivyo ndugu yangu haya mambo ni magumu yanaitaji ufumbuzi wake kwani ninavyosema hivi anataka kunywa sumu afe wewe muombee tu mungu amsaidie acha kutoa porojo zisizona msingi baba
 
Nashukuru lisa kwa kunishauri vyema nitamwambia kwani nilikuwa nami nimechanganyikiwa aliniambiakuwa atakunywa sumu haoni sababu ya kuishi ndo maana nikaomba ushauri kwenu nimsaidieje
be blessed lisa
 
Pole yake ila bora kujiachisha, but its not ageneral rule siyo wanaume wote tupo hivyo, ni hulka ya baadhi ya binadamu wa kike na kiume
 
Usipojua jinsi ya kuishi na hawa viumbe ndo watakuumiza kichwa,dnt take thm too serious....jipende jikubal jiamin enjoy life...

kabisaaa! Zama za kupenda kwa hisia zilishaisha, sahv unapenda kwa akili ati.
 
Hakuna mtu anayependa kitu kibaya duniani. Ukiona mtu anakuacha ujue chanzo ni wewe...tuache tabia ya blame shifting. Kuna mtu hata umshauri namna gani yeye utakuta anaendelea kuboronga tu. Kwa mfano unamwambia mpenzi wako "ungevaa skin jeans ungetoka vizuri, anakujibu ndio dem wako wa nje anavyo vaa ee" kesho unadhani ukiboronga nitakushauri tena! kila mtu anakosea ila ni bora ukikosa uikubali penalty ya kosa hilo.
 
Waongo wapo na wakweli wapo, hii ndio dunia...ila naona bado hujafunguka huyo mwenzako kapatwa na maswaibu gani haswa

katumika kaacwa kaambiwa ni mzee,screpa halipi tena hahaha mapenzi two side of the coin lol sijawahi achwa mie sijui machungu ila niliyewahi mwacha dunia kwake chungu lol,
 
hahahahah we nivea acha kumcheka mwenzio bana.....
katumika kaacwa kaambiwa ni mzee,screpa halipi tena hahaha mapenzi two side of the coin lol sijawahi achwa mie sijui machungu ila niliyewahi mwacha dunia kwake chungu lol,
 
Last edited by a moderator:
kabisaaa! Zama za kupenda kwa hisia zilishaisha, sahv unapenda kwa akili ati.

hii kitu nilisemaga hapa wakina FP wakasema eti sijampata wakumpenda nikimpata sintatumia akili bora na wewe useme,hao wakuwapa moyo ni wengine na hao wakuishi nao kwa akili ni wengine .usibweteke huyo sio mama yako ukimpata utilize mpaka msipa umkakamae kuna siku atakutupa kama tishu ukishafutia mavi wewe,akiwa mbegu mzuri unarudisha ulivochuma taratibu we utakuja lia wewe maujanja nshampa Ciello nsisikie akilia hapa
 
Last edited by a moderator:
haswa hutonisikia nikilia daima....hahahahahah
hii kitu nilisemaga hapa wakina FP wakasema eti sijampata wakumpenda nikimpata sintatumia akili bora na wewe useme,hao wakuwapa moyo ni wengine na hao wakuishi nao kwa akili ni wengine .usibweteke huyo sio mama yako ukimpata utilize mpaka msipa umkakamae kuna siku atakutupa kama tishu ukishafutia mavi wewe,akiwa mbegu mzuri unarudisha ulivochuma taratibu we utakuja lia wewe maujanja nshampa Ciello nsisikie akilia hapa
 
Hao wadada mnawasogeza wenyewe kwa waume zenu, acha dada awe promoted kuwa mke.
 
usipojua jinsi ya kuishi na hawa viumbe ndo watakuumiza kichwa,dnt take thm too serious....jipende jikubal jiamin enjoy life...

thats right,,

ladies must learn how to handle us,,

not to put us into consideration,,we are not promise keepers,,

tukifunua huwa hatuchelewi kufunika
 
Mhhhhhhhhhh! How I hate breakups that go by unpunished!!!!!!!!!! Mwache alie akimaliza mwambie kama kachoka kuwa DEKADEKA UTD and she thinks its about time for a little PAY BACK, aje kuomba ushauri wa amchukulie hatua gani?

Otherwise im out of here! Got no tear to shed!
 
hii kitu nilisemaga hapa wakina FP wakasema eti sijampata wakumpenda nikimpata sintatumia akili bora na wewe useme,hao wakuwapa moyo ni wengine na hao wakuishi nao kwa akili ni wengine .usibweteke huyo sio mama yako ukimpata utilize mpaka msipa umkakamae kuna siku atakutupa kama tishu ukishafutia mavi wewe,akiwa mbegu mzuri unarudisha ulivochuma taratibu we utakuja lia wewe maujanja nshampa Ciello nsisikie akilia hapa
ha haaaaa, mimi nitasema tena na tena nivea..... mimi ninaye ambaye naona anafaa kupewa moyo, na nimempa..... akija kuutupa hainihusu... kwa sasa nafurahia maisha 100% sina wasiwasi.....
 
Last edited by a moderator:
Kuachwa kunauma sana, kusalitiwa pia inauma sana tena sana hususani kwa mtu umpendae na unae muamini. Lakini hapo mimi nadhani lipo tatizo, kwanini amfukuze mkewe nakuamua kumchukua house girl? mie nadhani hapo katika hiyo familia kunamapungufu ya KINIDHAMU, nani kayaleta sijui nani kayasababisha pia sijui, ila kati ya wawilihao au mmoja wapo alipungukiwa kitu NIDHAMU NA UVUMILIVU, ndo maana hayo yametokea. Mfano: Wadada wengi waliopo katika ndoa hujisahau sana katika kutekeleza wajibu wao katika familia nahata wengine hudiriki kuwafokea wanaume zao, huu niutovu wanidhamu uliokithiri, wanaume nikama watoto wadogo, wanatakiwa kubembelezwa, kuliwazwa, kufarijiwa napia kuonyesha unamjali pia kumpenda na muda wote unathamini uwepo wake na asipo kuwepo huumizwa na kutokuwepo kwake. Lakini wanawake waleo hawana upendo na adabu ( si wote) hata chembe, anamkejeli mumewe, kitanda anatandika house girl, humbembelezi mumewako, unamkaripia, humpi haki yake ya ndoa anapohitaji, unamkosea heshima, unapekua simu yake pasipo ridhaa yake, unataka kujua namba ya siri ya ATM card yake kama hiyo haitoshi, unataka kujua anapokea kiasi gani cha mshahara tena unauliza kwa lugha isiyo na staha. Wanawake mjue kuwa nyie ni wasaidizi wetu sasa tukikosa usaidizi toka kwenu nani atatusaidia? Jamaa sio kichaa na kukurupuka kumchukua house girl lazima kunakitu hapo. Mimi nashauri huyo mdada, aende nyumbani kwa wazazi wa mwanaume, kisha aitwe na wayaweke mambo sawa. Mambo yakiwa sawa ahakikishe anamjua vyema mume wake, anataka kipi na nini hataki. Ampende kwa dhati na amweshimu pia kubuni njia za kuhakisha makosa yaliyo tokea awali hayatokei tena. Tatizo unyago sikuhizi hakuna ndomaana shida hizi zinatokea. Pole na kila lakheri.
 
Back
Top Bottom